Unaabudu dhehebu gani, kwanini unaabudu katika dhehebu hilo?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,704
Reaction score
19,661
Wakuu,
Tanzania imeundwa kwa msingi wa umoja, mshikamano na amani, ambapo serikali haina dini, chama, kabila, rangi, kanda au hali ya mtu ila watu ndio wanavyo hivyo.

So, uzi huu si wa kidini wala ubaguzi, unalenga madhehebu yote ya dini, uislam, ukristo, shia, upapagani n.k

Ikiwa wewe ni muislamu, mkristo au mpagani, tuambie kwanini umechagua uwe dini hiyo?

Namshirikisha na ndugu yangu Kiranga kwa ajili ya kuwa refee wa mtanange huu.
 
Social learning theory ( ALBERT BANDURA)
 
Dini watu tumerithi tu, utaskia hii tangu ndio ya kweli, waapi? Ungezaliwa kwenye dini unayoiponda ungekua dini hiohio na ungeiishi. Hivyo sababu ya kwanini upo/yupo/nipo dini flani, ni kwa sababu ulizaliwa ukakuta waliokuleta duniani ndio wanaiabudu. Unless uwe ulibadili ulipokua, wewe utakua na sababu yako binafsi.
 
Vasheku na vameku linu ni mfiri ungi tse, twahemba hai na hai mtuinge na mbora, rueni mko, mtalale amkeni mtukabanie vana va monu kunu mwai.....

Nywenu maruvaa mlye vose Chao Kii, mtuininge ushaa uhoo
 
mtu anaabudu kwenye dhehebu alilojikuta amezaliwa humo,,

Ila baada ya kupata changamoto, Watu wengi wameonekana kuhamia madhehebu ambayo yanawapatia nafuu ya matatizo yao..

lakini pia watu wengi wanahama madhehebu baada ya kujifunza au kuhubiriwa
 
nilipokuwa mdogo niliona wazazi wangu wanaabudu kwenye dhehebu la KKKT. sasa nimekua na ninaijua kweli ya Mungu siwezi kushika dhehebu. hata nisipokuwa na dhehebu naweza ishi maisha ya kumpendeza mungu.
 
Wakuu,
Tanzania imeundwa kwa msingi wa umoja, mshikamano na amani, ambapo serikali haina dini, chama, kabila, rangi, kanda au hali ya mtu ila watu ndio wanavyo hivyo.

So, uzi huu si wa kidini wala ubaguzi, unalenga madhehebu yote ya dini, uislam, ukristo, shia, upapagani n.k

Ikiwa wewe ni muislamu, mkristo au mpagani, tuambie kwanini umechagua uwe dini hiyo?

Namshirikisha na ndugu yangu Kiranga kwa ajili ya kuwa refee wa mtanange huu.
'Tunasali' Bungeni.
 
Kanisa moja, takatifu, la mitume. Mpaka kifo changu
 
Back
Top Bottom