kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
Ni rahisi kuficha utajiri kuliko kuishi kwenye umaskini, usiogope kumiliki ukwasi, ogopa kufuliaZa jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.
Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.
Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika.
Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu huu wa ujana, je una uhakika utafika uzeeni? Mkeo ataendelea kukupenda? Mkeo hatodanganyika kupanga njama za kukuua?
Leo nimeamini kuwa wakati mwingine watu wanadumu kwa kuwa hawana kitu.
Na ndoa zinadumu kwa kuwa hakuna utajiri bado.
Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.
Hakuna mwenye uhakika na hili,,,tusijistress.Za jioni hii. Nimekuwa na tafakuri kubwa kidogo wakati huu.
Kuna ndoa zinaishi vizuri na wanawake ni watiifu na zinafikisha mpaka Jubilei ya miaka kadhaa ya kutosha tu.
Tatizo kubwa linaweza kuwa ni uchumi mdogo yaani hawajatajirika.
Hebu jiulize mara chaap mnapata mali muda huu, na umri huu huu wa ujana, je una uhakika utafika uzeeni? Mkeo ataendelea kukupenda? Mkeo hatodanganyika kupanga njama za kukuua?
Leo nimeamini kuwa wakati mwingine watu wanadumu kwa kuwa hawana kitu.
Na ndoa zinadumu kwa kuwa hakuna utajiri bado.
Dunia ya sasa ni ngumu mno kupata mwanamke ambaye hatokubadilikia mkishapata utajiri. Ngumu mno.
Sawa. Sasa je, mke wangu hatobadilika na kuniua? Najilindaje na hili?Ni rahisi kuficha utajiri kuliko kuishi kwenye umaskini, usiogope kumiliki ukwasi, ogopa kufulia
Mkuu huwezi kumuamini mtu 100%! Kutomuamini mtu si guarantee ya kutomuoa. Unaweza ukamuamini kwenye vitu vingine ila SI PESA tena UTAJIRI kabisa.!Pesa uwe nazo tu ila usiwe unamshirikisha kila kitu kama humuamini, na kama humuamini ulimuoa wa nini.
Kama una hofu hiyo usioe.
Hili ndilo jibu.Hakuna mwenye uhakika na hili,,,tusijistress.
Kama mkeo ana udhaifu huo wa kupenda mali basi usimshirikishe miradi yako, igiza ufukara jifanye kulalamikia ugumu wa maisha huku ukiendelea kukuza ukwasi bila kumjuzaSawa. Sasa je, mke wangu hatobadilika na kuniua? Najilindaje na hili?
Utajiri haujifichagi ujue! Kuna levo atajua tu kuwa umezinyaka. Sasa kwa situation kama hii unajilindaje?Kama mkeo ana udhaifu huo wa kupenda mali basi usimshirikishe miradi yako, igiza ufukara jifanye kulalamikia ugumu wa maisha huku ukiendelea kukuza ukwasi bila kumjuza
Hiyo ndiyo point yangu kubwa. Wewe umenielewa vizuri.Kuna mama mmja aliolewa na jamaa ana pesa sana ,mama kaingia tamaa kamuuwa jamaa mali zote zikaisha na akarudi kwao kijijini kanunua kiwanja kajenga nyumba ya udongo.
Amejaribu kujiwa mara 4 wapiii[emoji23][emoji23][emoji23] watoto wake wa kumzaa wanamtukana mama umefanya tumekuwa masikini why ulimuuwa baba.
Yaani ule uuwaji ulikuwa wa wazi na wenge lilimshika akasema mwwnyewe ,,,,,nilimuuwa mme wangu ona navo twseka.
Dawa mkuu,aliwambia wanae baada ya majuto, mahotel kufa kila biashara na mali zinaisha tu,jamaa aliondoka nazo zote !!Hiyo ndiyo point yangu kubwa. Wewe umenielewa vizuri.
Alimtumia majambazi? Alimuua kifo gani kwa kuweka dawa au?!
Unajua kwa sababu gani wanauwa ?Kuna mama mmja aliolewa na jamaa ana pesa sana ,mama kaingia tamaa kamuuwa jamaa mali zote zikaisha na akarudi kwao kijijini kanunua kiwanja kajenga nyumba ya udongo.
Amejaribu kujiuwa mara 4 wapiii[emoji23][emoji23][emoji23] watoto wake wa kumzaa wanamtukana mama umefanya tumekuwa masikini why ulimuuwa baba.
Yaani ule uuwaji ulikuwa wa wazi na wenge lilimshika akasema mwenyewe ,,,,,nilimuuwa mme wangu ona navo teseka.
Hapo ndipo ninapozidi kuogopa kuoa wajinga wajinga wenye tamaa.Dawa mkuu,aliwambia wanae baada ya majuto, mahotel kufa kila biashara na mali zinaisha tu,jamaa aliondoka nazo zote !!
Kwa hiyo Mengi alishindwa kuwa msiri au?Unajua kwa sababu gani wanauwa ?
Hiyo inatokana na Mali zinazochuma huku mke anaona na kujua mfano biashara anajua kila kitu ,anajua mpaka mahesabu mtaji wa duka labda mume bidhaa anatoa wapi ...Sasa anaona kila kitu anajua hata kama mna tajirika ila anajua pesa zinapotoka basi akili Ina mjengea kwamba ataweza kujiendeleza Kwa namna yeyote hapo yupo tayar kuuwa hata kuvunjwa ndoa maana anajua mtagawana maduka kadhaa yeye anaendeleza.
Siri ya matajiri wengi huficha wanawake zao wasijue kabisa labda watoto..Hata kama una viwanda iwe mke akitaka mil 100 mpe kama hauna sema ila asijue una kiasi gani kama mtaji wa biashara zako..Ndo kilichomkuta Mengi mpake ile kesi baada ya kushindwa kugawana Mali mke anajua speculation ya biashara zote ndo maana akaomba alipwe sijui mil mia ngapi huko kwa mwezi maana anajua kila kitu kweny biashara za mume.
Yule mama kaplay part kubwa katika utajiri wake yaani ni akili wamechanganya anajua ABC za Mali zote ,wamepambana wote. Ila kisa cha kuachana sijajua yaani wametoka mbali sanaKwa hiyo Mengi alishindwa kuwa msiri au?
Bora kuachana kwa amani kama akina Mengi. Ila hapa naongelea mke kumuua mume kabisa.!Yule mama kaplay part kubwa katika utajiri wake yaani ni akili wamechanganya anajua ABC za Mali zote ,wamepambana wote. Ila kisa cha kuachana sijajua yaani wametoka mbali sana
Kuua ndo hatar ila huko uchagani kawaida sana mtu anaua mpaka mama ake ili arithi ..Hiyo jamii achana nayoBora kuachana kwa amani kama akina Mengi. Ila hapa naongelea mke kumuua mume kabisa.!