nguvu mali kwa upande wangu hapa naweza kupata vitabu vilivyoorodheshwa kwenye amazon tu. hivyo vya kiswahili kwa sasa upatikanaje wake tabu, unless viwe vinauzwa huko amazon
Hahahahhaa
Kwa kweli sina muda ila kama utapata audio novel nzuri nijulishe. Hata hivyo kuna Novel. ingawa za zamani ukisoma unakuwa kama unaona movie vile. inakuteka kabisa.
Tatizo novel nyingi nzuri pia zina movie.mfano ni hiyo Lord of the flies. na human being tuko attracted na image zaidi kuliko characters.
For Hard Copy napenda novel zenye less than 250-300 pages ambayo within a week niwe nimeshaimaliza.
Nikimaliza kufanya collection ya movies walizosugest nitakuja na huku.

Novel kweli zina mchango wake. Binafsi Novel zimenisaidia kwenye kukuza writing na syntax na semantic skills zangu za kidhungu. ingawa ni cha kuunga unga.
Nadhani hata mashuleni kuna matatizo.Vinahimizwa sana vitabu vya kiada na havipwei umuhimu vitabu vya ziada kama Novels. Kitu ambacho ni kosa. novel zina umuhimu
Kuna waandishi wazuri wa kiafrika kama Ngugi wa Thiong'o; Chinua Achebe na Ben Okri. Pia kuna Chipukizi kama Chimamanda Ngozi na Ndabisa Moyo ambao wameandika vitabu vya kusisimua. Mimi nimependa pia kusoma maisha ya watu kama Mandela, Nyerere, Museveni, Obama na Edwin Mtei. Kila la heri.
Ebwana soma vitabu vya James Hadley Chase kama vile "Like ahole in my Head" okoz ni vizuri sana. Pia unaweza tafuta novel za Musiba like "Kikosi cha Kisasi" Ni za kitambo kidogo lakini ni nzuri sana sana. Ila sijui kama utazipata kwa sasa hizi za Musiba.
----------------------------- Mkataa kwao ni Mchawi