Una mpango wa kuoa?

Yeah watoto ninao, ila suala la kuoa sijajua imetoakeaje nimejikuta sijawahi kuoa, halafu huwezi kuamini sijawahi ku-plan imetokea tu, kila nikitaka hata nioe najikuta hata sioi.. I don't know hiyo hali imetokeaje..
Hiyo hali imewatokea Millennials wengi sana. Changamoto huwa ni kipato na uchumi hautoshelezi Kuoa ingawa wadada wa Kuoa wapo wengi kinachokukatisha tamaa ni Kwamba wadada wengi Sasa hivi wapo financially broke unajikuta wewe una afadhali.

Hivyo unajikuta hata hamu ya kuoa inakata, ipo siku utakuja Kuoa mdada ambaye yupo financially stable more than you huyo ndiyo utakayemuoa na utaona Maisha yanakuwa Marais na mazuri lakino Hawa wadada wa kuombana hela za saloon na kucha aisee wanakata sana stimu za kuhitaji kuwaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…