Una mpango gani na uzao wako wa nje ndoa?

mimi ni mdau wa ndoa ya mke mmoja isio na bypass so nalea watoto wangu waliozaliwa ndani ya ndoa sitarajii kuchepuka
Huo ni ubinafsi, una uhakika gani hao watoto ulionao ndani ya ndoa ni wa kwako?
 
Teknolijia imerahisisha sana, wakitaka kuniona tu, wana click; www.equationx. family
Nilikuuliza serious...

Hata hivyo, fanya unachotakiwa kufanya sasa kabla haujachelewa.

Familia hizo za vipande vipande mwisho wake huwa sio mzuri hususani kwa baba wa familia.

Wengi huishia kuwa lonely tu ila natumai tu utawajali unavyoweza. Sio pesa tu ila kiakili na kihisia ili mbeleni wawe na strong bond na wewe
 
Fanya kitu roho inapenda maisha yenyewe mafupi, ila waza mara 2 kwanza faida na hasara.. ukiona faisa nyingi jiachie Mzee sisi hatuchangii ata nepi za hao ma anko zetu
 
Nilikuuliza serious...

Hata hivyo, fanya unachotakiwa kufanya sasa kabla haujachelewa.

Familia hizo za vipande vipande mwisho wake huwa sio mzuri hususani kwa baba wa familia.

Wengi huishia kuwa lonely tu ila natumai tu utawajali unavyoweza. Sio pesa tu ila kiakili na kihisia ili mbeleni wawe na strong bond na wewe
Maisha haya yana mafunzo mengi, wapo waliopata watoto wawili tu, na wengine wakaenda kuishi nchi za mbali na baba kuwa lonely huku mama akifurahia matunda ya watoto.

Wapo wengine watoto walikata moto na kubaki wao tu loneliness ikatokea.

Wapo waliotegemea watoto watawapa msaada, mwisho wa siku watoto wakawa mwiba.

Cha kujifunza, weka mifumo yako kama wahindi, kama utaweza kufungua kikampuni, weka vijana wako kila idara, kampuni isomeke jina la mzee mfano. equation x.

Huyo mke mmoja unayemuamini, anaweza kuja kuwa mwiba huko mbeleni, pale uanaume wako utakapoisha, mifano ipo mingi.

Kesho yako inaandaliwa leo, weka mikakati.​
 
Kuna probability & uncertainities za maisha (hii ni nature, ipo nje ya uwezo wako maana watoto ni binadamu na wana uwezo wa kuamua)

Na kuna cause and effect ( kuvuna ulochopanda)

Mimi naongelea ya pili..

Familia zenye mke na mume mmoja zina migogoro michache sana tofauti na familia zenye watoto wa mama tofauti

Ndio maana nikakuuliza kama umekulia familia za aina hiyo ili kujua. Unachokifanya umekiishi au unajaribu kufanya kitu ambacho hujawahi kuyaona madhara directly kwenye maisha yako mwenyewe.

Hata hivyo sitaki kusound bitter kwa sababu ni maisha yako, una uamuzi nayo. So live your life, kama faida ama hasara ikitokea utapambana nayo mwenyewe kwa sababu kuna wanaume baadhi wana familia za aina hiyo na wanaishi vizuri tu. Japo ni nadra sana but who knows , unaweza kuwa the lucky one mkuu. All the best 🙏🏽🙏🏽
 
Ikitokea ukawa na watoto nje, mapenzi au mahusiano na mama zao inabidi usitishe kwa afya ya akili, na nguvu nyingi ipeleke kwenye malezi ya watoto.

Mke wa ndoa utamjulisha una watoto nje, pale mtakapofikia miaka 50+, tunaamini umri huo ni umri uliojaa busara.

Najua na yeye atakupongeza kwa kuwa kidume sahihi.​
 
Kila mchepuko umetokea kutamani kuzaa na mimi

Hii imepelekea kukaribia kuwa na watoto 20, wengine wanahudumiwa na mama zao na mimi pia kuwapa ushirikiano kwa vitu vidogo vidogo ili maisha yaweze kusogea.

Sijajua, kwa nini wote wamekuwa na mwitikio huo, au labda watakuwa wamependa mbegu, kwa sababu ata kwenye mifugo na huko mashambani huwa tunachangua mbegu nzuri na kuziotesha ili zitupatie mazao yaliyo bora.

Hivi sasa, wapo wengine wawili ambapo tunategemea hapo mwakani kwenye mwezi wa kwanza na wa pili watuletee wapiga kura wawili.

Sijajua ni kwa nini wanapenda uzao wangu.

Na wazazi wenzangu wote ni pisi kali, waswahili wanaita visu.

Natamani katika uzee wangu, niishi na hao wote niliowaleta duniani; yaani nitengeneze ‘Empire’.

Hapa natafuta kijiji chenye hali ya hewa nzuri, nichukue kama ekari 10, nipige uzio na humo ndani tuburudike na uzao wangu kwa kufuga na kulima vibustani vya hapa na pale.

Muhimu tu,nizeeke vizuri na vijana wangu.

Je, wewe una mpango gani na uzao wako wa nje ya ndoa?​
Mke wako anajua una watoto wengi kiasi hcho?
 
Back
Top Bottom