X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,858 Nov 3, 2009 #1 Ndoto za msanii
Tumain JF-Expert Member Joined Jun 28, 2009 Posts 3,154 Reaction score 74 Nov 3, 2009 #2 Ha ha ha te te te inachekesha sana! mkapa anashika ma...ta.ko kiboko mwisho wa matatizo lol
kilemi JF-Expert Member Joined Mar 13, 2009 Posts 547 Reaction score 108 Nov 4, 2009 #3 Mwalimu atakuwa mwonevu, sidhani kama huyo askofu na sheikh wana makosa yakuhitaji bakora. Au sidanganyiki na waraka navyo kosa?
Mwalimu atakuwa mwonevu, sidhani kama huyo askofu na sheikh wana makosa yakuhitaji bakora. Au sidanganyiki na waraka navyo kosa?
October JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 2,145 Reaction score 93 Nov 4, 2009 #4 kilemi said: Mwalimu atakuwa mwonevu, sidhani kama huyo askofu na sheikh wana makosa yakuhitaji bakora. Au sidanganyiki na waraka navyo kosa? Click to expand... Labda alieonewa ni Mizengo Pinda (MP), sidhani kama anastahili bakora. Wengine woooote halali yao watandikwe.
kilemi said: Mwalimu atakuwa mwonevu, sidhani kama huyo askofu na sheikh wana makosa yakuhitaji bakora. Au sidanganyiki na waraka navyo kosa? Click to expand... Labda alieonewa ni Mizengo Pinda (MP), sidhani kama anastahili bakora. Wengine woooote halali yao watandikwe.
Junius JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 3,180 Reaction score 149 Nov 4, 2009 #5 Ilikuwa aanze kwa huyu askofu
X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,858 Nov 4, 2009 Thread starter #6 Junius said: Ilikuwa aanze kwa huyu askofu Click to expand... Kisa mkuu, unatafuta ugomvi weye kwa wenyewe... oh!
Junius said: Ilikuwa aanze kwa huyu askofu Click to expand... Kisa mkuu, unatafuta ugomvi weye kwa wenyewe... oh!
K Kizito Member Joined Feb 23, 2008 Posts 69 Reaction score 2 Nov 4, 2009 #7 Sawa kabisa hawa jamaa wana stahili Peremende hii isipokuwa wanadini wale waachwe