Una malengo gani na mimi?

Una malengo gani na mimi?

Wanajamvi habarini nyote

Nimeulizwa na demi wanngu "una malengo gani na mimi?" Nawaza nimjibuje.

Nisaidieni ushailuri/maoni

Nawasilisha
mwambie malengo yako ni kuwa mwanafunzi wake wa somo la kiswahili maana huo mwandiko wako ni shida kweli
 
Wanajamvi habarini nyote

Nimeulizwa na demi wanngu "una malengo gani na mimi?" Nawaza nimjibuje.

Nisaidieni ushailuri/maoni

Nawasilisha
Yaani wewe hujui una malengo gani naye unakuja kutuuliza sisi? OK anyway kwa kuwa umeomba ushauri we mwambie tu Nina malengo ya kukusomea ahlbadir.
 
Sasa malengo yako na dem wako tutayajua vipi?
 
Wavulana wa mikoani mnatia aibu, malengo ni ya kwako, ata shetani hawezi kujua malengo yako sembuse sisi, embu man up, nenda kamwambie malengo yako maovu alafu upokee kibuti kitakatifu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
My ex boyfriend alishawahi niuliza such a question....
Nlimjibu *nina malengo mazuri na wewe *
Hahaha
 
kama swali dogo kama hili limekushinda mpkmuombe ushauri we basi tena
 
Aise!!! Huyo demu amepata
kajamaa kengine nje
kakamwabia kamuoe
ndiyo anakuuliza Na ww
anataka aliganishe mawazo.
Cha kukushauli muulize kwanza yeye
Uoneanavyotaka ndiyo utapata cha kumjibu
Na endapo ukiona anajikanyaga baada ya
kumuuliza ujue ushazidiwa kete Na kisha
sepa tu HUNA CHAKO NDUGU[emoji81][emoji75][emoji25]
 
Back
Top Bottom