fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,596
- 9,096
Mimi kipaji changu ambacho sikitumii kabisa ni kupiga gitaa,hasa hasa gita la solo.Hiki kipaji Mungu alinipa toka utoto wangu,nilianza kwa kupiga madebe,makopo,nikapiga marimba,zeze,ndipo nikawa nawafata wana miziki nawaomba gitaa wananipa na hatimae nikafaulu sana nikawa mpiga mzuri mno.Nilivyoenfa kusoma nje ya nchi niliendelea kupiga gitaa sana,na nikawa najilipia kozi ndogo ndogo za miziki.Nilipokuwa likizo narudi tz na kaka yangu mmoja alikuwa tajiri na biashara nyingi,basi nikawa namsaidia kazi zake na alinipenda sana,kila akisafiri anasafiri nami ili nimsaidie kazi.Siku moja tukaenda Mwanza tukakaa Mwanza Hotel, jumamosi huwa na dinner and dance,kuliliwa na residence band,ambayo mida ya mchana huwa wanafanya mazoezi,nami siku moja nikaenda nikaomba kufanya nao mazoezi,wakanipa gitaa na nilipiga vizuri sana na nikawa rafiki yao sana..Siku moja mpiga solo wao akaugua ghafla akiwa jukwaani na watu wamejaa na mimi na kaka yangu tupo hapo,basi wakaja kuniomba nikapanda jukwaani nikalikung'uta gitaa la solo vizuri hadi saa 8 ndipo nikaenda kulala.Kaka yangu alishangaa kabisa.Siku nyingine ntapa stori nikampigia solo marehemu king kikii
ndio ni kipaji pia lakini kipaji kizima ni uchunguzi,ambacho subset yake ni kupiga chaboHivi kupiga chabo ni kipaji Kaka ?
Basi hiki kipaji ninacho kabisa .ndioni kipaji pia lakini kipaji kizima ni uchunguzi,ambacho subset yake ni kupiga chabo
Na hiki cha kushenyeta? Nacho ni kipaji, maana mm kwenda lisaa na nusu, na kumbadrisha mwenza wangu style kede kede ndio zangu.ndioni kipaji pia lakini kipaji kizima ni uchunguzi,ambacho subset yake ni kupiga chabo
kama huwa unakifanya kwa mbinu na ufundi ni kipaji lakini kama unakifanya bila ufundi ila kwa muda mrefu basi hiyo ni staminaNa hiki cha kushenyeta? Nacho ni kipaji, maana mm kwenda lisaa na nusu, na kumbadrisha mwenza wangu style kede kede ndio zangu.
Kwa ufundikama huwa unakifanya kwa mbinu na ufundi ni kipaji lakini kama unakifanya bila ufundi ila kwa muda mrefu basi hiyo ni stamina
Hata mie sijui kwanini sikukitumia wakati huo,kwa sasa umri ni mkubwa siwezi tena kwenda kupiga gitaa ili kinipe pato ila huwa napiga mara moja moja tu kujiburudishaHongera sana Mkuu!
Kwanini una kipaji kizuri lakini hukitumii? Nimekuwa na ndoto ya kujifunza Gita lakini sijafanikiwa
safi sanaKuchora!
Nikiwa Primary zile kazi za sanaa nilikuwa napelekwa Ofisini nachora picha mbali mbali, picha kadhaa zilibandikwa kwenye ofisi ya walimu na zingine zilipelekwa maktaba ya shule.
Tangia niache shule, na mambo ya uchoraji yaliishia shuleni.
safisiwezi sema nina kipaji lakini naweza kuplay chombo kimoja cha muziki.
huyohuyo tulikutana mkoa mmoja alialikwaKing kikii ninaemfagamu au mwingine.Kitambaa cheupe ni marehemu?
Unacho bhana, cha kupenda mashangazi kuliko agemates wenzio 😹Sina kipaji.