Bukya Senior Member Joined Apr 1, 2014 Posts 196 Reaction score 121 Feb 4, 2015 #1 Kaka mmoja alikuwa kwenye daladala na pembeni yake kulikuwa na dada mrembo. Jamaa akamwuliza samahani dada unaitwa Google? Dada akamjibu, hapana, kwa nini umedhani naitwa hivyo? jamaa akajibu una kila kitu ninachokitafuta.
Kaka mmoja alikuwa kwenye daladala na pembeni yake kulikuwa na dada mrembo. Jamaa akamwuliza samahani dada unaitwa Google? Dada akamjibu, hapana, kwa nini umedhani naitwa hivyo? jamaa akajibu una kila kitu ninachokitafuta.
mandela1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 837 Reaction score 602 Feb 4, 2015 #2 Hahhahaaaaa anaweza kusearch kila kitu akitakachoo