KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 Aug 7, 2018 #41 Mlio oa na kuolewa ndo mnaletaga hizi stori, baada ya kuchangiwa.
S Siku za ajabu JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 1,369 Reaction score 988 Aug 7, 2018 #42 Ndugu yangu changia ndoa changa kadri ya uwezo wako kuna nchi nipo kuna wanawake wenginsana na hakuna ndoq kabisa yani ukiskia ndoa labda moja kwa miaka hivyo hzo baraka usizichukie zikiondoka utazikumbuka.
Ndugu yangu changia ndoa changa kadri ya uwezo wako kuna nchi nipo kuna wanawake wenginsana na hakuna ndoq kabisa yani ukiskia ndoa labda moja kwa miaka hivyo hzo baraka usizichukie zikiondoka utazikumbuka.