Una hamu ya kwenda jela?

Una hamu ya kwenda jela?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,729
Wee kohoa tu koho koho ukiona hii makitu.
hqdefault.jpg

.... Utashtakiwa kwa shambulio la aibu.
 
Dah.. sometimes mtu unashiwishiwa kufanya michezo ya ajabu ajabu jmn msitulaumu vijana!
 
Kumtongoza manzi yenye kalio kubwa nadhani pia litakuwa shambulio la kutamani!!
 
kuna njia nyingine usipopita pia ni dhambi
 
Afande aliyetoa tamko kahamishwa mkoa, katupwa Pemba.
 
Yule Afande itakuwa Demu wake au mke wake ana chura balaa, hivyo amemlalamkia mzee
 
Back
Top Bottom