mara unakuta gharama ni mil 1
kASEPA!
Kwanini ukiombwa bei unakimbia mkubwa, wakati umesema unataka upewe maswali na ujibu??
pia lazima kutakuwa na malipo ya kila mwezi apart from device and installations
huduma nimeipenda na nipo tayari kuanza kuitumia lakini gharama na natamani kuitumia lakini naomba kujua gharama kabla sijainua simu yangukukupigia
Basi ISECURE INVESTMENT imekulete car tracking system itakayo kuwezesha kukupa taarifa ya gari yako na kupata nafasi ya kuwa karibu na gari kupitia simu yako ya mkononi, kifaa kitakuwezesha kufanya vitu vifuatavyo .1. Kuzima gari kupitia simu 2. Kuzuia kuwasha gari 3. Kujua mahali gari lilipo na speed yake. 4. Kukupa taarifa ikiwa milango imefunguliwa isivyo halali 5.kujua matumizi ya mafuta, 6. Kujua ikiwa gari linawashwa au linazimwa 8.kujua kama gari kama gari linaendeshwa kwa mwendo hatarishi. gharama ni nafuu sana , kwa mawasiliano piga simu namba 0714890018 au email isecure24@ymail.com au jmgullu@gmail.com.
Unaweza kuuliza na kujibiwa maswali yako kwenye hii thread
ntapata sms kwenye simu yangu kuwa gari imewashwa au imezimwa kutoka kwenye mtandao upi? Tuthibitishie kama hamna monthly charges
Kwenye toyo inafaa?
gharama ni US$280, nipo na nitawapa maelezo kadiri mtakavyohitaji
unaweza ukapata ,muhimu ni kuwasiliana tu, ntafute kwa njia ya simu
gharama ni US$280, na haina malipo mengine yoyote zaidi ya hayo kwetu