Una dukuduku moyoni???

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Usikae na kitu rohoni kimwage Hapa upate nafuu

Leo tumeianza wikend , tumekuwa na wiki yenye mambo mengi yakufurahisha na kuhuzunisha, ya kukarahisha na kutia simanzi, yenye kutoa changamoto na kufikirisha , mengine ni ya binafsi na mengine ni ya kijamii

Katika hayo yote kuna yaliyotupa madukuduku mengi, mwagika hapa tupunguze msongo wa mawazoni lakini pia tuweze kupeana faraja na pengine ushauri

Niwatakie wikendi njema sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…