Una akili? crack this please.

mkuu! napenda sana hesabu! kama unaweza kunipa mwanga kidago nadhani naweza kukomaa! alafu nikuulize mkuu! una idea yoyote ya jinsi ya ku crack softwares?
 
mkuu! napenda sana hesabu! kama unaweza kunipa mwanga kidago nadhani naweza kukomaa! alafu nikuulize mkuu! una idea yoyote ya jinsi ya ku crack softwares?

Mkuu quiz ndio hiyo hapo na waweza jaribu...hakuna msaada wowote unaotolewa...
Na hiyo ni coded message watakiwa kui crack....ku crack softwares ni jambo lingine...
all the best...
 
Hiyo kujua ni kubahatsha bahatisha tu . Na hata kubahatsha lazima uwe mkali wa machine language. Unaweza kusaka nyenzo mtandaoni za kusoma dump file.
Hapo sio cracking tu inabidi ujue mashine language (Hardware level ) Ambayo hata maprogrammer wakali wa sasa wengi hawajaui na wanatumia nyenzo

Mfano Microsoft wana Nyenzo ya hii. Debugging Tools for Windows 32-bit Version
 

Ni sawa mkuu japo hata amateurs wanaweza jaribu bila machines na kuweza ku crack hii code....this was meant for the intelligence community and not computer geeks....
 
Mi kwangu hesabu ni baba mkwe, kweusi tiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!! utazani tanesco wamekwachua switch yao
 
magazijuto

(joks)

unatisha! wewe ni genius! nilijaribu kwa hesabu za maumbo! yani mstatili na pembe tatu! nilingia chaka balaaa! nikatumia uzoefu si unajua mtu mzima dawa! jibu nililopata yani usiombe! hiyo code ni jina la utani la mafisadi wale nguli! yani "MAPACHA WATATU":lol:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…