tucker carlson
Member
- Oct 5, 2025
- 32
- 201
Wakuu,
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linalotambua biashara ya utumwa wa Waafrika kama uhalifu dhidi ya ubinadamu, hatua iliyopigiwa kura 123 za kuunga mkono.
Katika kura hiyo, nchi tatu, Argentina, Israel na Marekani zilipinga, huku nchi 52 zikijizuia kupiga kura.
Soma pia: Huko Umoja wa Mataifa Tanzania ni Wasindikizaji tu
Akizungumza kabla ya upigaji kura huo, Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, alisema azimio hilo lina lengo la kuthibitisha ukweli na kufungua njia ya uponyaji pamoja na haki ya fidia, kwa niaba ya Kundi la Afrika lenye wanachama 54 ndani ya Umoja wa Mataifa.
Kwa zaidi ya miaka 400, mamilioni ya Waafrika walichukuliwa kwa nguvu, kufungwa minyororo na kusafirishwa kwenda katika ulimwengu mpya kufanya kazi ngumu kwenye mashamba ya pamba, miwa na kahawa chini ya mateso makubwa ambapo pia walinyimwa haki zao za msingi, hata majina yao, na kulazimishwa kuishi katika mfumo wa unyonyaji
Azimio hilo linaeleza kuwa biashara ya utumwa wa Waafrika na mfumo wa kuwafanya mali ni miongoni mwa uhalifu mkubwa zaidi dhidi ya ubinadamu, kutokana na ukubwa wake, muda wake, ukatili wake na madhara yake yanayoendelea kuathiri maisha ya watu hadi sasa.
The resolution spearheaded by Ghana received 123 votes in favour. Three countries – Argentina, Israel and the United States – voted against and 52 abstained.
“Today, we come together in solemn solidarity to affirm truth and pursue a route to healing and reparative justice,” said Ghana’s President John Dramani Mahama, speaking ahead of the vote on behalf of the 54-member African Group – the largest regional bloc at the UN.
For more than 400 years, millions of people were stolen from Africa, put in shackles and shipped to the New World to toil in cotton fields and sugar and coffee plantations under scorching heat and the crack of the whip.
Denied their basic humanity and even their own names, they were forced to endure generations of exploitation with repercussions that reverberate today including persistent anti-Black racism and discrimination.
The resolution emphasised “the trafficking of enslaved Africans and racialised chattel enslavement of Africans as the gravest crime against humanity by reason of the definitive break in world history, scale, duration, systemic nature, brutality and enduring consequences that continue to structure the lives of all people through racialized regimes of labour, property and capital.”
Source: United Nations

=============== For English Audience ==============