UN: Lazima Africa iwape mashoga haki zao

Taz

JF-Expert Member
Feb 14, 2012
304
158
Pamoja na kua nchi nyingi za kiafrica zimeweka wazi kua hazito kubaliana na swala la kuhalalisha mahusiano kati ya watu wenye jinsia moja, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amewaomba Waafrica kuheshimu haki za mashoga.
Akiongea na Raisi wa kwanza wa Zambia Keneth Kaunda, a
mekubali kwamba Ushoga sio kitu cha kawaida Africa ila amesema kua UN inajali haki ya Mashoga walioko duniani na inawaomba viongozi wa Africa kuheshimu haki zao sababu ni binadamu weke haki kama wengine.

Ban Ki-Moon urges Africans to respect gay rights

Ban+image.jpg

The United Nations secretary general Ban Ki-Moon has urged states to recognise and respect homosexuality.

Mr Ban, who arrived in Zambia on Friday, made the remarks when he met country's first president Kenneth Kaunda in Lusaka Saturday.

He said gays have rights that all nations should respect.
"I understand this is something that is not common here," said Ban. "I think they should be treated as human beings .The United Nations cares about those people," Mr Ban added.

In response to the UN official's counsel, Mr Kaunda said he appreciated the call for the respect of human rights for it was important globally. In 2010, the former president dismissed calls to tolerate homosexuality terming it ungodly.

In Zambia, like other parts of Africa, the idea of homosexuality as a human right has been met with resistance.
Source
 
Wananibore wanaposema Africa africa,mbona Ulaya kuna nchi ambazo haziruhusu ndoa za kishoga.Halafu wawe specific,AFRICA SIYO NCHI.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Pamoja na kua nchi nyingi za kiafrica zimeweka wazi kua hazito kubaliana na swala la kuhalalisha mahusiano kati ya watu wenye jinsia moja, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amewaomba Waafrica kuheshimu haki za mashoga.
Akiongea na Raisi wa Zimbabwe Keneth Kaunda, a
mekubali kwamba Ushoga sio kitu cha kawaida Africa ila amesema kua UN inajali haki ya Mashoga walioko duniani na inawaomba viongozi wa Africa kuheshimu haki zao sababu ni binadamu weke haki kama wengine.

Ban Ki-Moon urges Africans to respect gay rights

Ban+image.jpg

The United Nations secretary general Ban Ki-Moon has urged states to recognise and respect homosexuality.

Mr Ban, who arrived in Zambia on Friday, made the remarks when he met country's first president Kenneth Kaunda in Lusaka Saturday.

He said gays have rights that all nations should respect.
"I understand this is something that is not common here," said Ban. "I think they should be treated as human beings .The United Nations cares about those people," Mr Ban added.

In response to the UN official's counsel, Mr Kaunda said he appreciated the call for the respect of human rights for it was important globally. In 2010, the former president dismissed calls to tolerate homosexuality terming it ungodly.

In Zambia, like other parts of Africa, the idea of homosexuality as a human right has been met with resistance.
Source

Hoping you mean, Zambia.
 
Hivi na hili suala la ushoga hawa jamaa wana agenda gani?Ndiyo hiyo kampeni ya kupunguza population increase ya dunia kwa sababu Africa ndiyo inaongoza kwa increase rate au?
 
inaelekea kuna watu wanakimbilia nchi za ulaya na kudai hifadhi
kwa sababu wakirudi kwao watapata matatizo kutokana na hali yao
ya ushoga. sasa jamaa wanataka kubana huo mwanya.
 
Wananibore wanaposema Africa africa,mbona Ulaya kuna nchi ambazo haziruhusu ndoa za kishoga.Halafu wawe specific,AFRICA SIYO NCHI.

Nchi nyingi za Africa sasa hivi zimepinga ushoga wazi, na zile zilizo kua na tolerance sasa zinataka kutunga sheria maalum ya kupinga ushoga.
 
Taz labda suijaelewa hapo ulipomzungumzia Kaunda. Kenneth Kaunda sio raisi tena, na alikua raisi wa awamu ya kwanza Zambia sio Zimbabwe. The man has not been a president for close to twenty years.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Taz labda suijaelewa hapo ulipomzungumzia Kaunda. Kenneth Kaunda sio raisi tena, na alikua raisi wa awamu ya kwanza Zambia sio Zimbabwe. The man has not been a president for close to twenty years.
Asante Asha, nilisahau neno 'wa kwanza'. Nimejaribu kutafsiri original text ya kiingereza ambayo ilikua wazi. thanx.
 
Taz labda suijaelewa hapo ulipomzungumzia Kaunda. Kenneth Kaunda sio raisi tena, na alikua raisi wa awamu ya kwanza Zambia sio Zimbabwe. The man has not been a president for close to twenty years.

Nadhani alikosea tu kuandika lakini ukiendelea kusoma article chini utaona
Yakwamba UN Secretary alikutana na rais wa
Kwanza Zambia Kenneth Kaunda siku ya ijumaa ...
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Anyway ..

UK wamesha ongelea hili sasa UN wanalivamia swala hili tena.

Ndio tutajua nchi gani za Africa zina msimamo na wanachokiamini..
 
Nilisoma the whole text, ilonifanya ni point out ni sababu in four conservative words kulikua na two big mistakes, na sababu twaelimishana thot it important to point out makosa which were. 1. kua KK is still President. 2. kua KK ni Raisi wa Zimbabwe.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Hivi na hili suala la ushoga hawa jamaa wana agenda gani?Ndiyo hiyo kampeni ya kupunguza population increase ya dunia kwa sababu Africa ndiyo inaongoza kwa increase rate au?
Halafu cha kushangaza kuna nchi nyingi sana za ulaya ambazo bado mashoga hawaruhusiwi, ila hawaambiwi kitu.
 
Anyway ..

UK wamesha ongelea hili sasa UN wanalivamia swala hili tena.

Ndio tutajua nchi gani za Africa zina msimamo na wanachokiamini..
AD, Wakilazimisha itakua kama SA.
Serikali inawatambua ila community inawaua kinyama!
 
Napata hisia kuwa Dr. Asha Rose Migiro amepewa kazi ya kufuatilizia haki za mashoga huku Africa. Kama Mtanzania angekaa kwa post yake kesho wampendekeze yeye kuwa katibu mkuu wa UN. Lakini si bure ana agenda yake na wazungu wake.
 
Wakati mwingine naingiwa na 'crazy ideas!!' kwamba sasa Afrika i'free' assets zote (kama inawezekana) za mashirika, nchi, na jumuhia nyingine za kimataifa zinazolazimisha USHETANI kutawala dunia. Lengo kuziadabisha juu ya maamuzi yake ya hovyo/ovyo.
 
GodfreyTajiri umeongea kitu chenye ukweli
ni wazi kuna baadhi ya watu wanakimbilia huko ulaya kwa madai wanakimbia Asylum in africa kutokana na hali zao!
 
Kuna ripoti ya migration Office ya Canada iliwahi kuchunguza file ya kijana mmoja alie omba asylum kwa kua yeye ni shoga. Conglusion ya uchunguzi wao ilikua kwamba pamoja na kua ushoga ni illegal in Tanzania and Zanzibar hakuna alie kua prosecuted lately kwa hiyo alinyimwa asylum.
We can say that visa hazitoki kwa msingi huo kabisa, they know that gay are looked at as 'different' but they are not prosecuted for being gay.
 
Back
Top Bottom