UN: Kunahitajika uwekezaji kwenye masuala ya Afya ya Akili

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), António Guterres amesema suala la afya ya akili halijatiliwa maanani kwa muda mrefu sana

Mwezi Mei ni mwezi wa Afya ya Akili hivyo ametoa wito kuwa kunahitajika uwekezaji katika miundombinu ya afya ya akili ili kukabiliana na shida hii inayosababisha matukio mengi duniani

Magonjwa ya akili ni pamoja na Sonona, Msongo wa Mawazo ambayo mara nyingine hupelekea watu kujioa
 
Ni kweli inahitaji aisee

Sanasana nchi za kiafrika

Kama mtu unakunya juu katikati ya kitanda lodge bongo

Uwekezaji unahitajika kwakweli
 
Back
Top Bottom