UN Human Rights (UNWGAD): Calls for the immediate release of Mr. Magoti and that he should be compensated

In September 2020, the United Nations Working Group on Arbitrary Detention (UNWGAD) issued a decision in the case of detained Tanzanian human rights lawyer, Tito Magoti.

The UNWGAD held that the fair trial violations in Mr. Magoti's case were of such gravity to give his pre-trial detention an arbitrary character. The UNWGAD further held that Tanzania is in violation of the Universal Declaration on Human Rights and the International Covenant on Civil and Political Rights.

The UNWGAD decision calls for the immediate release of Mr. Magoti and that he should be compensated. The ABA Justice Defenders Program provided pro bono technical legal assistance to the Legal Human Rights Center (LHRC) to submit the petition on behalf of Magoti who at the time of his arrest, worked as a Program Officer for Mass Education at LHRC.
Naomba kufahamu juhudi za UNWGAD kwenye issue ya Assange wa Wiklieaks.

Impact yake ni ipi?
 
In September 2020, the United Nations Working Group on Arbitrary Detention (UNWGAD) issued a decision in the case of detained Tanzanian human rights lawyer, Tito Magoti.

The UNWGAD held that the fair trial violations in Mr. Magoti's case were of such gravity to give his pre-trial detention an arbitrary character. The UNWGAD further held that Tanzania is in violation of the Universal Declaration on Human Rights and the International Covenant on Civil and Political Rights.

The UNWGAD decision calls for the immediate release of Mr. Magoti and that he should be compensated. The ABA Justice Defenders Program provided pro bono technical legal assistance to the Legal Human Rights Center (LHRC) to submit the petition on behalf of Magoti who at the time of his arrest, worked as a Program Officer for Mass Education at LHRC.
OOp what did you say?? He worked as a Program Officer for Mass Education or Gays Sex Education?? I missed that but tell your blood Human Right rubbish to f off and leave Tanzania alone and they should only concentrate on Gays Right something which in Tanzania we dont care about,, Human Rights is an organisation that defends criminals and in Tanzania we dont do that ASANTE
 
Wanajua kosa lake??? Hizi International communities xinahitaji kujifunza zaidi, vinginevyo zitaonekana vituko
Hizi International Communities huwa haziwakilishi nchi zinazoendelea bali maslahi ya nchi kubwa
 
Maisha ya dunia ni ya kupita kupambana kuwakomoa watu sababu wamekula uongozi hakusaidii. Hakuna utajiri halisi Kama kuwatendea mema watu. Unaweza ukamiliki dunia na huna Uhuru wa nafsi ni bure.
 
Uwezo huna una bwabwaja tu kama hao mabwana zako. Hii nchi ni huru huyo Magoti yuko kwenye Mahakama kama watuhumiwa wengine kama atapatikana na hatia atafugwa tu hakuna jinsi. Waambie mabwana zako hii ni nchi huru haibabaishwi na kikaragoshi chochote kama walimtuma basi ameshanasa tayari.
Mahaba kitovu cha uzembe. Wewe ndiye unayebwabwaja. Hata ukiulizwa alikamatwa kwa tuhuma gani hujui. Ila akitajwa dikteta au serikali yake tu, presha inakupanda uanaingia ulingoni bila hata kuelewa sakata lenyewe lilivyo. Mashabiki wengi wa utawala huu mpo hivyo, kazi kurusha ngumi gizani. Kilangila.
 
Wanajua kosa lake??? Hizi International communities zinahitaji kujifunza zaidi, vinginevyo zitaonekana vituko
Wewe ni mjinga hasa.

Hivi mwenye kosa huwa anafichwa au kuwekwa lockup? Chombo gani chenye mamlaka ya kumtambua mkosaji na kumpa hukumu?

Mbona watetezi wengi wa serikali mnaonekana ni watu wenye uelewa mdogo na huenda na akili pia ndogo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom