UN Human Rights (UNWGAD): Calls for the immediate release of Mr. Magoti and that he should be compensated

Uwezo huna una bwabwaja tu kama hao mabwana zako. Hii nchi ni huru huyo Magoti yuko kwenye Mahakama kama watuhumiwa wengine kama atapatikana na hatia atafugwa tu hakuna jinsi. Waambie mabwana zako hii ni nchi huru haibabaishwi na kikaragoshi chochote kama walimtuma basi ameshanasa tayari.
Debe tupu halikosi kupiga kelele. Subiri uone Serikali itakavyo-respond kwa kutii amri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu ni watetezi wa watanzania,nawaunga mkono!Ila kuna mijusi hapa kazi yao ni kushabikia mateso ya watanzania wenzao!
Mfano kesi ya Nusrat Hanje,wenye akili tulijua tu atateswa mahabusu na baadae kabla ya hukumu DPP atajitoa!Hiyo ndio imekuwa mbinu mpya ya kuwatesa watanzania ambao hawawalambi viatu!Wanawabambikizia kesi kisha wanawanyima dhamana,kesi ikielekea ukingoni wanasema hawana nia ya kuendelea na kesi maana wanajua hata wakiendelea wataumbuka kwa mtuhumiwa kukutwa hana hatia!
Ilikuwa hivyo kwa Manji,Lema,Nusrat na wengine wengi!
Shame on this stupid gvt!
 
Nimejifunza neno zuri la UTAJIRI WA KWELI DUNIANI.

Everyday is Saturday............................... 😎
Furaha ya moyo ndio utajiri Mkubwa saana kuliko yafaa nini kumiliki vyote Hali huna ridhiko la nafsi.
Thus wanamiliki kila kitu lkn Hawana amani ya moyo
 
Wanajua kosa lake??? Hizi International communities zinahitaji kujifunza zaidi, vinginevyo zitaonekana vituko
Pia awamu hii ya Magufuli mtu kufungwa bila kosa/ kunyimwa dhamana anayoistahili imekuwa kawaida sana
 
Uwezo huna una bwabwaja tu kama hao mabwana zako. Hii nchi ni huru huyo Magoti yuko kwenye Mahakama kama watuhumiwa wengine kama atapatikana na hatia atafugwa tu hakuna jinsi. Waambie mabwana zako hii ni nchi huru haibabaishwi na kikaragoshi chochote kama walimtuma basi ameshanasa tayari.
Una uhuru wa bendera, short and clear. Na ukiona wana kunyamazia kwa baya lolote ufanyalo, hujakata mirija yao. Wanachukua malighafi, madini, gas. Wanakupa misaada ya magari na gharama unailipa kupitia vipuri, wanakupigia mizinga 21 ukienda kwao, nk. Iba kura uwezavyo ili uendelee kutawala, watajifanya hawaoni wala kusikia. Jaribu kukata mirija ukione kilicho mtoa kanga manyoya kichwani.
 
In September 2020, the United Nations Working Group on Arbitrary Detention (UNWGAD) issued a decision in the case of detained Tanzanian human rights lawyer, Tito Magoti.

The UNWGAD held that the fair trial violations in Mr. Magoti's case were of such gravity to give his pre-trial detention an arbitrary character. The UNWGAD further held that Tanzania is in violation of the Universal Declaration on Human Rights and the International Covenant on Civil and Political Rights.

The UNWGAD decision calls for the immediate release of Mr. Magoti and that he should be compensated. The ABA Justice Defenders Program provided pro bono technical legal assistance to the Legal Human Rights Center (LHRC) to submit the petition on behalf of Magoti who at the time of his arrest, worked as a Program Officer for Mass Education at LHRC.
Utawala wa Mhutu umezalisha wajinga wengi sana , jitu halielewi sheria , haki za binadamu , lenyewe Ni kupuyanga tu linachunga ng'ombe .
 
Wanajua kosa lake??? Hizi International communities zinahitaji kujifunza zaidi, vinginevyo zitaonekana vituko
Wewe kama si kituko unajua kosa lake? Katika utawala wa sheria mtu yeyote hana kosa hadi hapo mahakama itakapomtia hatiani.
 
Back
Top Bottom