masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,608
- 14,552
Kama wewe ni daktari nitashangaa hiyo huruma kwa wagonjwa inaingiaje sasa na wakati huu!wamuombe radhi, amekuwa Mungu!? Hivi unajisikia rahaa gani unapokuta wagonjwa wamelala chini (mfn mzuri nenda wodi ya sewaaji MNH) au kitanda kimoja kimelaliwa na wagonjwa wawili?
Au unajisikiaje unapokuta foleni ya wagonjwa kama 30 kwenye chumba cha mashine ya x-ray??
Ingekua busara huyo rais ndo'aanze kuomba radhi mbele ya Mungu wake na raia.
Mkuu kwa madaktari hao wanaogoma kama vibaka, I do not miss them, in actual fact I can live without them.Ni kweli hauhitaji madaktari?huwa unatibiwa wapi wewe na familia yako?sidhani kama unafahamu haki zako za msingi na wajibu wa serikali kwako wewe mwananchi
MADOCTOR wa tz wapasua kichwa badala ya mguu ni wapuuzi hawana maana, vishoka wakubwa afu wanaringa, wangekuwa wanaelewa sasa wangefanya nini si wangetusumbua sana, hapo tu mambumbumbu bado wanatuumiza vichwa,....kama wao ni madoctor kweli mbona ulimboka wanampelekwa kwa madoctor wenzao waliosoma shule ikasomaka huko india na souz africa? wao wameshindwa? vishoka hawana maana, yaani nikiwaona nao ati wanaringia profession yao huwa nacheka sana walevi hawa. kwanza wamezidi kutuibia madawa yetu kupeleka kwenye pharmacy zao.
Yes. Sheria mpya ya mahusiano ya kazi imeelekeza jinsi ya kuendesha mgomo. Ukiweza kufuata taratibu zilizooainishwa mle unaruhusiwa kugomais there legal strike?
Kweli akili ni nywele!Madaktari vijana hawasababishi wakina mama wajawazito kulala mzungu wa pili pale Amana na Temeke!Hawapunguzi budget ya afya kila mwaka toka 2009,Hawanunui vifaa kazi wala madawa!Wala hawasababishi CT scan kuwa mbovu miezi 7 sasa!Hebu peleka lawama kunako stahili.Madaktari vijana msiwe na kiburi waombeni radhi watanzania ili mrudi kazini.
Katika suala hili you lose, both public and national sympathy.
Hamuhitajiki sana kama mnavyofikiri na wanaowaunga mkono ni olitical opputunists.
At any rate damage mliyofanya mtalipa tu, kwa vyovyote vile, lakini kwa manufaa yenu ombeni radhi kwa Rais wa Jamhuri.
madoctor imekula kwao! serikali inamkono mrefu jamani! na najua tunalijua ilo<sema tunabishana tu humu ndani kwa hulka zetu za kisiasa! ila ngoja tuone