Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
By FARAJA MGWABATI, 22nd October 2010 Daily News
DISTRICT officials and farmers have to purchase quality power tillers and avoid sub-standard ones with the excuse of cheap prices, the government has announced.
It was discovered that many districts had procured sub-standard power tillers from China and India, most of them are said to be grounded due to frequent breakdown.
The Minister of State in the Prime Minister's Office responsible for Local Governments and Regional Administration, Ms Celina Kombani, said the districts should go for quality not quantity.
"Councils should buy Kubota Power tillers because they are better. They must understand that cheap is expensive," Ms Kombani said over the phone from Ulanga, Morogoro during interview with the 'Daily News on Saturday.'
According to her, the government is aware of complaints from various stakeholders about the influx of sub-standard tillers, but the first people to address the problem are the buyers (farmers and district leaders).
Chinese power tillers are sold at between 4m/- and 6m/- while Kubota goes for between 9m/- and 11m/-. The minister said the government would establish mechanization centres across the country to train farmers on how to use and service the power tillers.
Mwalimu Kichuguu,
Kwenye international levels, wanasemaGA tread carefully. Sasa kama sisi tunatoa tamko kama hili hovyo hovyo, je wakiretaliate hata kimya kimya tutamlaumu nani? Ni yale ya kutukana mkunga uzazi ungalipo!
REv;Mwalimu,
Point taken, lakini kama kauli hiyo ingetolewa na Musiba au Mrutu, ingeeleweka, si Waziri ambaye kwana hatuna uwezo wa kiushindani na China au kulinda uzalishaji wa ndani bali tunazungumzia uagizaji na kufanya wazi kuwa tuna upendeleo.
Kama asingebainisha wazi ni matila ya nchi gani ni mabovu akazungumzia manufaa ya gharama hapo ingeeleweka.
REv,IO,
Supplier mkubwa wa consumer goods marekani ni Mchina. Bidha zaidi ya 30% ni made in China na zinatumika hapa Marekani. Tatizo si kuwa bidhaa za China mbovu bali ni mfumo wetu w kuagiza vitu uliondamana na rushwa na kukimbilia kununua bidhaa za bei rahisi na kupita mamlaka zetu za udhibiti kwa urahisi.
Kama ningekuwa Mchina na nikakutana na ujinga wa Watanzania, basi ningewabambika zile low cost goods na kuziuza at market value (Si ushindani wa kibiashara?).
Tulipoanza Kilimo Kwanza na kuanza uamsho wa Matila, je Serikali kwa kuwa imeng'ang'ania kuendesha shughuli za uagizaji, uuzaji na hata uzalishaji mali ilifanya due dilligence na kuona ni vifaa vya wapi vyenye ubora?
Kwa nini TBS hawakufanyia testing au TBS hawana R&D ya kukagua na ku-test bidhaa? Iweje tuwe dampo la bidhaa halafu tumlaumu anayetuuzia?
Ndio maana nauliza iweje Serikali ineemeke kwa kodi na hata rushwa na ubadhirifu kwenye uzabuni halafu leo itoe tamko la kipuuzi namna hiyo?
Mkitaka quaolity goods hata huko China mtazipata na ndio maana uchumi wao ni wa kutisha duniani na matila yao yanazalisha kwa wananchi wao bila matatizo.