Un-Diplomatic Thoughts or Simply Stupidity? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Un-Diplomatic Thoughts or Simply Stupidity?

Discussion in 'Great Thinkers' started by Rev. Kishoka, Oct 24, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  I guess we have continued to breed a class of "tupotupo" leaders. How can you give such statement which sound as an official statement?

  Last week, China played with the interest rates of its currency as the result, all the markets in the world became flat footed!

  China is investing heavily in Tanzania and we are depending on them in every aspect.

  China and Japan have an ongoing historical drama dating 1000 years ago and just about 2 months ago, there was a diplomatic hussling on an island each country flexing the muscles.

  But, a high ranking official of Tanzania Government just declared that Chinese tillers are inferior to Kubota tillers from Japan and urge everyone to by Japanese machine.

  Put aside Mchungaji's curiosity of who is the supplier of Kubota tillers, but my focus on lack of diplomacy from Minister Kombani.

  If I were Chinese official at Chinese embassy in Tanzania, I will demand an explanation from Tanzanian government.

   
 2. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,433
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Mchungaji
  What is your point here? If "Chinese are investing heavily in Tanzania and we are depending on them in every aspect" then we should buy their low quility tillers? What kind of "diplomacy" you want from Kombani. I think we should give her a credit for NOT calling a spade a big spoon... (if her claims are true of cource).
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks rev, NS WE HAVE THE PUBLIC PROCUREMENET MECHANISM AROUND, and celina has just pre-qualified the vendors without following procedures

  i call it STUPIDITY
   
 4. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Macho Mdiliko,

  If Tanzania was producing tillers and they want to promote local products, then it is okay to ask Tanzanian to buy Tanzanian product, as protectionism.

  But on iternational arena, one has to be thoughtful and careful of what they communicate. Leo China wakikasirika na kuvunja uhusiano wa kibalozi na kusitisha mikataba who will be in deep trouble?

  et importers or private people compete and allow them and so are the suppliers to sell the brand but not a government official.

  Au mwenzetu hujui diplomasia za kibiashara? Just think about it kama Serikali ya Marekani ikiamua kutoa tamko rasmi kwa wamarekani wanunue kahawa ya Kenya na si ya Tanzania......kwa sababu ya Tanzania imetumia samadi ya mbuzi or something to make the product inferiro and not allow the consumer to make personal descicion.

  Then on other side, if it is about bilateral trade, then we have simply announced that we will only enter contract for tillers with Kubota and nobody else na hapo hapo tunapromote free market economy na kusihi kila mtu atuletee bidhaa.

  Going back to inferiority of product, who has responsibility to measure the quality of products in Tanzania? If Serikali has already enjoyed revenues from importers of Chinese "poor quality" tillers, what message are we conveying to our Wananchi and traders?
   
 5. O

  Ogah JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Rev,

  This is beyond Kombani's Stupidity.................Its our lousy Government policy on consumer/customer protection...............
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  I don't see any diplomatic problem here. It may be true that she overstepped her authority, but making a commonsense advice against Chinese cheap and low quality products in favor of the Japanese high quality products has nothing to do with diplomacy. It is a business decision that should not be driven by politics unless if a legal economic embargo against Japan was in place.
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mwalimu Kichuguu,

  Kwenye international levels, wanasemaGA tread carefully. Sasa kama sisi tunatoa tamko kama hili hovyo hovyo, je wakiretaliate hata kimya kimya tutamlaumu nani? Ni yale ya kutukana mkunga uzazi ungalipo!
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Oct 24, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hapana, nafikiri unawaogopa wachina bure tu. Hili hapa ni swala la biashara, wanataka kupanua soko lao na njia pekee ya kufanya hivyo ni kuboresha bidhaa zao. Ingawa ninakubali kuwa mama selina katika position yake hakutakiwa kuziamulia hizo halmashahari mahali pa kunuanua matila hayo. Ila hakuna tatizo kabisa kwake kutamka kuwa matila ya China hayana ubora kulinganisha na yale ya Japan akitumia takwimu kuwa yale matila yaliyotoka china yote yamekufa wakati yale ya kubota bado yanafanya kazi. Sana sana tamko hilo linawasadia wachina kutambua kuwa bado matila yao hayajafikia yale ya wajapan ili wayaboreshe zaidi. Wachina wamekuwa na tabia ya kununua mashine za japan na kuzi-reverse engineer; kwa hiyo itabidi wanunue matila ya kubota iili wayakopi. Walifanya hivyo kwenye bullet train kwa kununua moja la Japan, moja la Ujeruman na moja ya Ufaranza wakayakopi na kuunganisha dizaini hizo kutoa la kwa kwao ambalo lina kasi ya kuyazidi hayo mengine.
   
 9. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mwalimu,

  Point taken, lakini kama kauli hiyo ingetolewa na Musiba au Mrutu, ingeeleweka, si Waziri ambaye kwana hatuna uwezo wa kiushindani na China au kulinda uzalishaji wa ndani bali tunazungumzia uagizaji na kufanya wazi kuwa tuna upendeleo.

  Kama asingebainisha wazi ni matila ya nchi gani ni mabovu akazungumzia manufaa ya gharama hapo ingeeleweka.
   
 10. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  REv;
  Natofautiana kabisa na wewe; kama ungejua athari ya bidhaa za kichina kwa Africa ungemshukuru mara elfu huyo waziri. Bidhaa karibu zote zinazokuja Africa kutoka China haziwezi kupenya hata Eastern Europe. From Medicine to machinery. Kama ningekwambia hata madawa ambayo hayawezi kutumika China hutumika Tanzania. I think here you're trying to eaggerate the situation. China needs Africa as Africa needs China.
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  IO,

  Supplier mkubwa wa consumer goods marekani ni Mchina. Bidha zaidi ya 30% ni made in China na zinatumika hapa Marekani. Tatizo si kuwa bidhaa za China mbovu bali ni mfumo wetu w kuagiza vitu uliondamana na rushwa na kukimbilia kununua bidhaa za bei rahisi na kupita mamlaka zetu za udhibiti kwa urahisi.

  Kama ningekuwa Mchina na nikakutana na ujinga wa Watanzania, basi ningewabambika zile low cost goods na kuziuza at market value (Si ushindani wa kibiashara?).

  Tulipoanza Kilimo Kwanza na kuanza uamsho wa Matila, je Serikali kwa kuwa imeng'ang'ania kuendesha shughuli za uagizaji, uuzaji na hata uzalishaji mali ilifanya due dilligence na kuona ni vifaa vya wapi vyenye ubora?

  Kwa nini TBS hawakufanyia testing au TBS hawana R&D ya kukagua na ku-test bidhaa? Iweje tuwe dampo la bidhaa halafu tumlaumu anayetuuzia?

  Ndio maana nauliza iweje Serikali ineemeke kwa kodi na hata rushwa na ubadhirifu kwenye uzabuni halafu leo itoe tamko la kipuuzi namna hiyo?

  Mkitaka quaolity goods hata huko China mtazipata na ndio maana uchumi wao ni wa kutisha duniani na matila yao yanazalisha kwa wananchi wao bila matatizo.
   
 12. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  REv,
  Upo sawa kabisa bidhaaa nyingi zinatumiwa USA zinatoka China. Nyingi ni zile ambazo zinasimamiwa na wazalishi wa ki marekani hasa brand names ambazo huzalishwa China kwa sababu ya bei rahisi ya uzalishaji yaani production costs. Mataifa mengi ya magharibi yanazalishia bidhaa zake kutoka China na South East Asia. Kama umefuatilia quality zake haziko enforced na wachina, FDA USA ni wakali sana kiasi kwamba hawawezi kuruhusu bidhaa mbovu kuingia. NA wachina wamekuwa waoga kupoteza market hiyo.

  Unaposema ati Wachina Watumie Ujinga wa waTanzania kupata faida; hiyo kwenye business ethics si kitu kizuri; kila bidhaa ina kitu kinachoitwa product safety sheet, pamoja na vitu kama basel comvention nk Kila custom ya nchi hairuhusiwi ku-export bidhaa zenye quality mbovu. Mfanyabiashara haruhusiwi kuuza dawa ambayo ina sumu; hata kama watanzania ni wajinga. Kwa Tanzania kuna uzembe, na vile vile China wasichukulie uzembe wa waTanzania kuwauzia bidhaa mbovu.
   
 13. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  IO,

  It is Capitalism stupid and tha is why even in political arena, CCM is capitalizing on ignorance of the mass by selling us bogus products everyday... unless we go back to Ujamaa where morals and ethics have some sort of existance in Africa.:A S 39:
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hIVI KIPI BORA PWER TILLER 10 AU TREKTA MBILI??
   
Loading...