Umwagiliaji wa migomba

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,910
Reaction score
2,714
Habari wakuu.

Nimepita sehemu nikakuta jamaa wametengeneza mfumo ambao maji yote ya bafuni na jikoni yameelekezwa kwenye shamba la migomba na imestawi vizuri tu.
Swali langu ni kuwa je maji ya sabuni hayana madhara kwenye migomba?
Ni mimea gani mingine ambayo ukimwagilia maji ya sabuni haifi?

Asanteni
 
Mbona kule Tukuyu hatumwagilii na migomba inastawi tu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…