niggarz upbaganika
Senior Member
- Apr 22, 2016
- 109
- 90
Baada ya kuwasikiliza wagombea wetu wa uraisi napendekeza/tunapendekeza tume ya uchaguzi iandae mdahalo kwa wagombea wetu wa uraisi(wote) na tunaomba patafutwe ukumbi ambao utakuwa neutral ground. Napendekeza Kila mgombea anadi Sera zake kwa maeneo yafuatayo:
1. Muungano
2. Muundo wa utawala/uongozi
3. Maliasili na nishati
4. Elimu
5 .Kilimo
6. Ulinzi na usalama
7. Biashara
8. Miundombinu
9. Sheria na Katina
10. Mahusiano na Katina
Tunapendekeza mdahalo huu uwepo mwezi mmoja kabla ya uchaguzi. Muda mzuri ni kuanzia saa moja mpaka saa nne usiku.
Tunaomba vyombo vyote vya habari nchi mzima viombwe kurusha live mdahalo huu. Baada ya mdahalo kesho yake wagombea waendelee na ratiba ya kuzunguka nchi mzima kutafuta kura zao,wabunge na madiwani wao.