Nadhani hekimatele ameeleza kifupi na kwa ufasaha umuhimu wa backup kwenye computer.
Computer kama ilivyo vifaa vingine zinaweza haribika, kuteketea kwenye moto au kuibiwa, sasa kama una nyaraka zako muhimu ina maana zitakua zimepotea. Lakini kama ulikua na mpango mzuri wa kuhifadhi vitu vyako, shughulu zako hazitaathiriwa kwa kiasi kukubwa sana.
Chukulia mfano jengo limeungua na palikua na ofisi, taarifa mbalimbali za wateja, waajiriwa, mishahara, mikataba mbalimbali imeungua kwenye hizo kompyuta na hazikua zimehifadhiwa sehemu nyingine mbadala, madhara yake yatakua makubwa sana.
Umuhimu mwingine ni kutimiza matakwa ya kisheria, hii ipo kwa makampuni. Yanatakiwa yawe na effective backup strategy
backup katika computer in maana zifuatazo
1:ku copy data zako (user data ) kama unataka kufanyia repair au unahisi computer yako inataka ku-crash so unazikopi katika storage device nyingine au ku-copy data ulizozifanyia recovery
2:unaweza kufanya backup ya system(system settings and drives) so itakusaidia kupata restoring point kama machine yako italeta matatizo kama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.