Umuhimu wa vitabu

Inategemea mkuu maana wengine vitabu ni kama vinawatia uchizi.
 
Reactions: bbc
ni kweli mkuu vitabu ni chakula cha ubongo lakini pia michezo ni muhimu
Michezo sio kuangalia na kushabikia ilhal weye mwenyewe haufanyi/haushiriki mazoezi/mchezo wowote.
 
Michezo sio kuangalia na kushabikia ilhal weye mwenyewe haufanyi/haushiriki mazoezi/mchezo wowote.

Mkuu bora tukae tu, maana ake maisha yetu tu ni mazoezo tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…