Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 695
- 1,712
Naona mnapiga kampeni ya kutaka kujitenga!?
Hivi kuna sehemu iliyobarikiwa nchi hii kulinganisha na pwani?
1. Bandari zote kuu Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara) ziko pwani..
2. Natural gas reserves worth atleast 250 Billion USD zipo pwani
3. Huge Helium gas Reserves... ni pwani..
4. Huge Uranium Deposits.. pwani hiyo..
5. Unajua korosho inaingizia Taifa kiasi gani per annum?
6. JN HydroPower Project(2115 MW) lipo Rufiji, pwani..
7. Mikoa miwili ya Pwani (Tanga na Morogoro) inaweza kulisha Tanzania nzima.. Hakuna zao la chakula linalolimwa Tanzania ambalo halistawi kwenye hii mikoa miwili iliyopo pwani..
8. Selous na Saadani.. kwenye utalii wa wanyama ukanda wa Pwani..
9. Mikoa ya Tanga, Lindi na Morogoro ina madini mengi sana..
10. Tourism.. Mafia island, Bagamoyo, Kilwa, Coastal Beaches kuna potential kubwa sana kama tu zitakuwa Developed kama Zanzibar..
11. Potential kubwa ya Blue Economy kama tu serikali itafocus kwenye uchumi wa Bahari..
12. Probability ya uwepo wa Mafuta ni mkubwa kwenye eneo la Zanzibar Channel..
13. Zao linalofufuka la Mkonge.. pwani hiyo
14. Je, unajua kwa nini viwanda vingi vipo Dar? (Na Zamani Tanga japo viliuliwa)?... Hiyo ni pwani
etc...
Hii ndio pwani..
Morogoro ipo Eastern Zone ya Tanzania lakini sio Pwani
Gusia Mkoa wa Geita kidogo mkuuHivi kuna sehemu iliyobarikiwa nchi hii kulinganisha na pwani?
1. Bandari zote kuu Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara) ziko pwani..
2. Natural gas reserves worth atleast 250 Billion USD zipo pwani
3. Huge Helium gas Reserves... ni pwani..
4. Huge Uranium Deposits.. pwani hiyo..
5. Unajua korosho inaingizia Taifa kiasi gani per annum?
6. JN HydroPower Project(2115 MW) lipo Rufiji, pwani..
7. Mikoa miwili ya Pwani (Tanga na Morogoro) inaweza kulisha Tanzania nzima.. Hakuna zao la chakula linalolimwa Tanzania ambalo halistawi kwenye hii mikoa miwili iliyopo pwani..
8. Selous na Saadani.. kwenye utalii wa wanyama ukanda wa Pwani..
9. Mikoa ya Tanga, Lindi na Morogoro ina madini mengi sana..
10. Tourism.. Mafia island, Bagamoyo, Kilwa, Coastal Beaches kuna potential kubwa sana kama tu zitakuwa Developed kama Zanzibar..
11. Potential kubwa ya Blue Economy kama tu serikali itafocus kwenye uchumi wa Bahari..
12. Probability ya uwepo wa Mafuta ni mkubwa kwenye eneo la Zanzibar Channel..
13. Zao linalofufuka la Mkonge.. pwani hiyo
14. Je, unajua kwa nini viwanda vingi vipo Dar? (Na Zamani Tanga japo viliuliwa)?... Hiyo ni pwani
etc...
Hii ndio pwani..
Gu
Gusia Mkoa wa Geita kidogo mkuu
π€Leo tunazungumzia Pwani Bob..
Ila kwa "kukutekenya tu", Geita imebarikiwa Madini ya dhahabu(No 1 Tanzania nzima), Uvuvi Wilayani Chato(Ziwa Victoria), Kilimo(Pamba etc)..
Wana nn muulize nyerere alivyomaliza ukanda huo alikuwa hawawapendi kuna mahoteli ya kifahamu we na ukoo wako hamna pesa ya kuingia kuna business zinafanyika za pesa ndefu majongoo ya pwani ,mwani hujui tuliaUkisema pwani ni Km Ngapi?kutoka usawa wa bahari.
Niliwahi fika bagamoyo ambao upo pwani, hakuna hata daladala za kuunganisha wilaya na wilaya.hawana cha kutoa au kufuatwa.pangani ndio wilaya kongwe yenye chini ya km 2 za lami.pangani wana nini kati ya utajiri ulio utaja?.
Nimewahi fika lindi.nafasi ya mkoa ni kuubwa lakini mjini ni kama vile upo bagamoyo.
Swali pwani ni km ngapi kutoka baharini?
π π π πKama nawaona mijikenda ya bara inavyoguna...hahaaa!!!
Angalia tena nimeongeza nondoπ€
Haya mkuu, Wewe dawa yanguAngalia tena nimeongeza nondo
Sasa hayo yote mbona hatuoni faida yake kama nchi zaidi ya kutegemea dhahabu na almasi za kanda ya ziwa ili kuendesha uchumi wa hii nchi.Hivi kuna sehemu iliyobarikiwa nchi hii kulinganisha na pwani?
1. Bandari zote kuu Tanzania (Dar, Tanga, Mtwara) ziko pwani..
2. Natural gas reserves worth atleast 250 Billion USD zipo pwani
3. Huge Helium gas Reserves... ni pwani..
4. Huge Uranium Deposits.. pwani hiyo..
5. Unajua korosho inaingizia Taifa kiasi gani per annum?
6. JN HydroPower Project(2115 MW) lipo Rufiji, pwani..
7. Mikoa miwili ya Pwani (Tanga na Morogoro) inaweza kulisha Tanzania nzima.. Hakuna zao la chakula linalolimwa Tanzania ambalo halistawi kwenye hii mikoa miwili iliyopo pwani..
8. Selous na Saadani.. kwenye utalii wa wanyama ukanda wa Pwani..
9. Mikoa ya Tanga, Lindi na Morogoro ina madini mengi sana..
10. Tourism.. Mafia island, Bagamoyo, Kilwa, Coastal Beaches kuna potential kubwa sana kama tu zitakuwa Developed kama Zanzibar..
11. Potential kubwa ya Blue Economy kama tu serikali itafocus kwenye uchumi wa Bahari..
12. Probability ya uwepo wa Mafuta ni mkubwa kwenye eneo la Zanzibar Channel..
13. Zao linalofufuka la Mkonge.. pwani hiyo
14. Je, unajua kwa nini viwanda vingi vipo Dar? (Na Zamani Tanga japo viliuliwa)?... Hiyo ni pwani
etc...
Hii ndio pwani..
Binti yupi wa Nyerere kasilimu?