Umuhimu wa tovuti(website) kwa biashara yako

SMART CODES

Member
Jan 2, 2014
17
8
Ukitazama biashara nyingi za kati au ndogo zina kitu kimoja zinafanana, nyingi hazina tovuti au website zinazotoa maelezo ya kutosha juu ya huduma, bidhaa au eneo zinakofanya kazi. Iwe ni hapa nyumbani Tanzania au kwenye nchi zinazoendelea pekee, bali hata kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, hali ipo hivo. Biashara nyingi huendeshwa na familia na nyingi hufanya kazi kimazoea.

Tovuti ni nini?

Tovuti au website ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za tarakilishi kama vile HTML, PHP, XHTML na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Jambo hili huweza kuwa ni taarifa za biashara yako. Hivyo basi, ukitengeneza tovuti ya biashara yako, ni kama kuweka taarifa za biashara yako katika maktaba ya dunia. Maktaba ambayo inaweza kufikiwa na mtu yoyote mahali popote, saa yoyote na hii ndio sababu ya msingi kabisa ya kutengeneza tovuti yako.

Umuhimu wa tovuti kwenye biashara yako.

Kwanza ni rahisi zaidi wateja kujua kuhusu biashara yako na huduma unazozitoa. Kutokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia, watu wengi ni watumiaji wa internet. Ni rahisi zaidi kwao kutafuta taarifa za biashara yako kupitia mtandao au “ku Google” kama inavyojulikana kwa jina la mitaani. Je wateja wako wanapo “GOOGLE” na kuikosa biashara yako mtandaoni wanachukua hatua gani? Jibu lipo wazi, watahamia kwa mshindani wako kibiashara, jambo ambalo naamini hulitaki, ndio hata mimi au yoyote hawezi kufurahia mpinzani wake kumwibia wateja. Hii ni sababu mojawapo ya kuwa na tovuti, ili wateja wanaopenda “ku google” wakupate kirahisi zaidi.
Pili tovuti inaongeza thamani ya biashara yako. Tovuti yako inaweza kubadili mtazamo wa mteja wako, na kuona kuwa ni biashara kubwa zaidi ya ilivyo. Hii si tu itakuongezea imani kwa wateja, pia inaweza kuongeza wateja wengi zaidi na imani yao kwako. Ni rahisi mtu kufanya biashara na kampuni anayoijua vyema, je ni wapi atapata taarifa zako? Je atasoma kwenye mabango mitaani taarifa za fedha za kampuni za mwaka uliopita? Au ataona kwenye tangazo la televisheni juu ya mashine mpya mnazotumia kutengeneza bidhaa? Jibu ni hapana. Ni sehemu moja tu unayoweza kuweka taarifa zako zote, nayo ni tovuti.

Tengeneza tovuti yako leo
SMART CODES ni suluhisho la kudumu la kuwawezesha wafanyabiashara wa kati na wadogo kujitengenezea tovuti zao za biashara au za binafsi zenye kuvutia na zenye ubora wa hali ya juu. Ukitembelea website yao SMART CODES utaona mapinduzi makubwaya kiteknolojia katika kutengeneza website na utatamani kabisa kuwa na kama hiyo.

Karibu sasa ujipatie website yako mapema ili kujitangaza zaidi kidijitali ndani na nje ya nchi.

0789776668 -Raymond(Afisa Biashara)
raymond@smartcodes.co.tz

Baadhi ya kazi tulizofanya ni kutengeneza website ya;
TV1( kituo kipya cha television)- TV1 Your No.1 Entertainer
SUMA JKT-www.agrimachnery.or.tz
OnSpot Magazine -www. onspotmagazine.com
Giraffe Ocean View Hotel - Giraffe Ocean View Hotel | Giraffe Ocean View Hotel
na nyingine nying.
works.PNG
 
View attachment 162736

Mkuu unaweza kunipm package zenu zikoje?
 
Yaani Bei mpaka mtu aku pm? Dah Bongo bado sana, lini bei ikawa sili? weka bei hapa kila mtu aone na sio mambo ya ku pm, mimi binafisi na hitaji ila siwezi kuku pm huweki bei basi
 
Nami nahitaji kujua bei,

Mkuu ni PM bei.

mkuu nijuze kwa pm maelezo zaidi

Weka bei hadharani kwani hiyo ni biashara ya madawa ya kulevya?

Mambo vip mkuu. me nahitaji website ila kwaajili ya habari je mnzitengeneza kwa bei gani kaka.

Nimeshindwa kuweka bei kwa sababu hili ni jukwaa la TECH na post yetu ilihusu ushauri zaidi na sio biashara, kutokana na maombi ya wengi nitaweka bei zetu zilizopo kwenye offer kwa kipindi hiki. Categories tatu zilizopo kwenye offer ni;

1) Basic $500
-Hosting $100 and Design $400

1) Standard $800
-Hosting $200 and Design $600

3) Premium $1700
-Hosting $500 and Design $1200
For large organizations.

Katika package zote mbili tunakupa unlimited emails(professionals emails), unlimited database na bandwidth ya kutosha pia Facebook page link,twitter link na kadhalika. Pia punguzo lipo na tunaweza kutengeneza website kutokana na BAJETI YAKO. Asante na karibu kwa swali lolote au mawasiliano
 
Back
Top Bottom