Umuhimu wa Omega 3 katika miili yetu.

Umuhimu wa Omega 3 katika miili yetu.

Kaie

Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
48
Reaction score
24
Leo hii ningependa nionglee zaidi kuhusu neno Omega 3. Imekuwa ni kawaida kuwa jamii yetu sasa imebadili mtazamo kuwa unene ni afya na sasa watu wengi wanapambana na huu ugonjwa ambao unakuja na maradhi sugu mbali mbali endapo hatua za kiafya zisipo chukuliwa.

Wengi wao wanao taka kupungua uzito hulaumu kuwa UMBO limeharibika kwa sababu ya nyama nyama zile za mafuta kurundikana yani BELLY FAT lakini ni dhahiri kuwa wengi hawafikirii kuwa kupungua kwa uzito kuendane na kuondoa mafuta mabaya mwilini yaliyopo kwenye mzunguko wa damu yani BLOOD CHOLESTERAL.

Leo napenda uelimike namna ya kurudisha umbo lako na afya yako pia kwa kutumia vyakula au virutubisho vya Omega 3.

Cholesteral ni mafuta ambayo hupatikana ndani ya mwili kwenye mzunguko wa damu.

Aina hii ya cholesteral asilimia 90 ya cholesteral hutengenezwa na ini. Lakini pia tunajipatia cholesteral kutoka kwenye vyakula tunavyokula. Hivyo kuna vyanzo vikuu viwili vya cholesteral kwenye damu kwanza ni ini lenyewe na pia chakula tunachokula.

AINA YA CHOLESTERAL.
kuna aina kuu tatu za cholesteral.

1. HIGH DENSITY LIPOPROTEIN.
Hii ni aina ya cholesteral ambayo hujulikana kama good cholesteral...ndio mana inaitwa HIGH...hivyo inatakiwa kiwango chake kiwe juu ndani ya damu.

Kwani hii ndio aina ya cholesteral ambayo inakuzuia wewe usipate kisukari, pressure, uzito kupita kiasi na magonjwa mengine mengi yanayo ambatana na hayo.

Pia kuna aina kuu mbili za good cholesteral ambazo ni OMEGA 3 na OMEGA 6.

Omega 3 inapatikana hasa kwa samaki yani mafuta yake lakini epuka sana kutumia samaki fresh wengi kwa lengo kuongeza omega - 3 kwa sababu pia tafiti zinaoneaha kuwa samaki ni chanzo cha Mercury hivyo unaweza ukapata madini haya ambayo ni sumu kwa afya yako ndio maaana siku hizi ili kukidhi mahitaji mafuta ya samaki yamekuwa yakitunika baada ya mercury kuondolewa.

Omega 6 tunaipata kwa kula mboga mboga za majani za kijani.

ILI UWE MZIMA KIAFYA UNAHITAJI OMEGA 3 NA OMEGA 6 ZIWE KATIKA UWIANO WA 1:1.
Lakini kwa sababu mazingira yetu tunakula sana omega 6 kutoka kwenye mboga mboga na vyakula vingine huo uwiano haupo ndio mana miili yetu imelemewa na mafuta mabaya yanayo sababisha vichocheo vya kuunguza mafuta kushindwa kufanya kazi.

Hadi sasa tafiti zinaonesha kuwa watu wengi tuna omega3 na omega 6 uwiano wa 1:20 pia 1:50 hii inamaanisha tuna upungufu wa omega 3 na tuna wingi wa omega 6.

Kupungukiwa kwa omega 3 kunasababisha mafuta mabaya kurundikana na hatimaye kusababisha kizuizi katika utendaji kazi wa insulin yani Insulin resistance.

Hivyo hiki kichocheo kisipofanya kazi ipasavyo kazi yake kuu huanza kuhifadhi mafuta mwilini na kuzeesha mwili. Pia huzuia utendaji kazi wa leptin ambayo ina msaada mkubwa wa kuzuia ulaji kupita kiasi wa vyakula.

Inaweza kuwa umetumia virutubisho vya kupungua uzito au unaenda GYME kila siku na hupungui uzito huku ukibaki kulaumu virutubisho feki havifani kazi.

Napenda kukuambia hiyo ni dalili ya kisukari aina ya pili tunaita PRE DIABETES kwani utakuta rafiki yako kapungua kilo kama 10 lakini wewe kilo moja ni dhahiri kuwa tumia OMEGA THREE NYINGI kutoka kwa samaki ili uondoe kizuizi cha insulin kiweze kutoka na upungue uzito kwa jinsi inavyo takiwa.

2. LOW DENSITY LIPOPROTEIN
Haya pia huitwa mafuta mabaya kama jina linavyo sadiki hivyo hakikisha kiwango chake kinakua chini kadri uwezavyo.

Haya ndio mafuta yanayosababisha uzito kupita kiasi kwa kuzuia kichocheo cha insulin na leptin visifanye kazi ipasavyo hivyo mafuta na shuguli zingine za mwili yani metabolism zinapungua kasi na hivyo lengo kutotimia km unapunguza uzito.

Pia kusababisha pressure na kisukari aina ya pili, macho kuuma, uvimbe kwenye kizazi, mzunguko mbovu wa hedhi nk.

Hivyo hii aina ya mafuta tunaipata kwa kula nyama za wanyama.

3. TRYGLYCERIDES.

Haya pia ni mafuta mabaya keep it low tunayapata kutoka kwenye mafuta ya mboga mboga yaliyo gandishwa kiwandani mfano margarine, blue band nk.

USHAURI.
Mafuta mabaya ndio chanzo cha kutopungua uzito ingawa unatumia dawa za kupunguza uzito, unashinda GYME unajinyima kula na unafanya diet plan kila siku.

Hivyo hakikisha kuwa uwiano wa OMEGA 3: OMEGA 6 Una kuwa 1:1 na sio 1:20 au 1:50.

Hii itafanyika kwa kula vyakula vya omega 3 kwa wingi na kupunguza mafuta yatokanayo na nyama.

Inashauriwa kuwa kama tayari umesha athiriwa na mafuta mabaya kila siku tumia 500mg asubuhi na jioni kwa miezi mitatu. Kama bado ni dhahiri kuwa tumia 500mg mara moja kwa siku kwa mwezi mmoja.

ARCTIC SEA - Omega 3.
11. Huzuia kansa ya Matiti, Prostate - Tezi Dume, na matatizo ya Strocke.

10. Misuli kukosa nguvu.

09. Kumbukumbu.

08. Macho kutokuumbika vizuri.

07. Huzuia kukua kwa uvimbe.

06. Kuzuia Arthritis.

05. Huondoa Cholesterol.

04. Huongeza nguvu na kinga ya mwili.

03. Afya ya Ngozi.

02. Hurekebisha matatizo ya Homoni.

01. Husaidia Katika ukuaji wa Ubongo.

Tuwasiliane 0719 700 745.


1476859344283.jpg
 
Back
Top Bottom