nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
Kwa msisitizo hela ni muhimu,Ndio maana inafika miaka 2 ndoani watu wamechokana kisa mipango haiendi,kulumbana tu,kulalamika etc
Kwa msisitizo hela ni muhimu,Ndio maana inafika miaka 2 ndoani watu wamechokana kisa mipango haiendi,kulumbana tu,kulalamika etc
Comment yako ina walakini sana...!1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili
2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Ushauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
kuwa bachelor kuna raha sana jamani kuliko kuoa
Unamaanisha wenye pesa hawalumbani? Ungejua ndoa za maskini zina maelewano mazuri kuliko za hao matajiri
Nahisi hujaoa wewe na kama umeoa ndo kwanza una mwezi 1....Ndan ya maisha kuna mabonde na milima na lazima upitie yote hayo kwa maana hakuna anaetengeneza pesa miongon mwa mwetu so haiwezekan wewe uwe pesa throuh out....Na kwenye ndoa kukubwa ni upendo tu hata uwe huna mia upendo wa kwel upo pale pale...Kwa msisitizo hela ni muhimu,Ndio maana inafika miaka 2 ndoani watu wamechokana kisa mipango haiendi,kulumbana tu,kulalamika etc
Nahisi hujaoa wewe na kama umeoa ndo kwanza una mwezi 1....Ndan ya maisha kuna mabonde na milima na lazima upitie yote hayo kwa maana hakuna anaetengeneza pesa miongon mwa mwetu so haiwezekan wewe uwe pesa throuh out....Na kwenye ndoa kukubwa ni upendo tu hata uwe huna mia upendo wa kwel upo pale pale...
Eti tafuta pesa ndo uoe na wale ambayo wanafanikiwa kwa kuchelewa mtu anapata pesa akiwa na 50s.....?
sasa ndio umeandika kitu gani?wewe nawe utakuwa maskini tu bila swali
Kuoa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na hela.1: status; hata uwe na wake mia bila hela utaishia kuitwa mjinga usie na akili:
MIPANGO INATANGULIA KWANZA na mipango inaleta hela. hela haileti mipango, inapanua mipango... ukitaka upate hela ndio upange, umeumia..2: Mipango; bila hela hakuna mipango itakayopangika zaidi utakesha ukiota mipango,,,, na ukioa kilaza ndo kabisaaaaaaaaaa!!!!!!!!! utahisi una mikosi ya kila rangi.
Hela haina hio heshima unayoipa. Kita aitafutaye ataiapata na ipo kwa utele.3: Watoto; yes watoto ni furaha na faraja baraka kutoka kwa mungu..... but bila hela utawaona ni mzigo na kuchukia mama yao eti haijui nyota ya kijani anaijua ya bluu tu!!!!!!!!!!!!!
Kama ndio hivyo matajiri na watu maarufu ndio wangeongoza kwa kuoa na kuwa na ndoa nzuri... kama huamini, waulize wazee wa HOLYWOOD alisema BAKUshauri; tafuta hela,, pata hela,,, waza kuoa over!!!!!"
wewe nawe utakuwa maskini tu bila swali
Hii over obsession na hela itafanya hata watu wasi discuss mambo muhimu. Money aside marriage has companionship and friendship and alot beteeen these two.
1.)Status-unaheshimika na jamii ukioa,sina jibu kwanini inakuwa hivyo la moja kwa moja...ila hicho kitu nimekiona mara nyingi.
This sure don't apply to me. I'm not married and I still got it together (even way more than a lot of married folks).2).Mipango inapangika-richa ya kuwa unakuwa unaingia kwenye majukumu mazito wanaume wengi huwa wanafanya malengo,dont know how is happen.
Mchaga ametulia,Pesa umepata au unataka kuja kulalama tena