Umuhimu wa maji katika mwili wa binadamu

Umuhimu wa maji katika mwili wa binadamu

Je mlo kamili tafadhali ni upi,ni asubuhi mchana na jioni ama[emoji848]

Hapana,nitakuja na hiyo mada hiv karibuni lkn kiufupi mlo Kamili ni mchanganyiko wa vyakula / virutubisho vyote muhimu ktk Makundi ya chakula,mfano Kuwe na protein,carbohydrates,vitamins ,na maji ,nitaelezea kila umuhimu wa kundi la chakula na faida zake na aina zake ,na unaaandaji wake na ratiba ya kula siku nzima,
 
Maji yanaendana na kilograms zako mkuu, sio tu kwamba ukijisikia kiu ndo unatakiwa unywe maji
Hapo juu jamaa kasema unywe lita 3 za maji daily hajagusia kuhusu kimo na uzito. Ndio nikamrekebisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom