Sahani20 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 1,517 Reaction score 746 Jan 11, 2017 #1 Wakuu napenda kujuzwa umuhimu wa majani ya chai kwenye chai. Je, ni sahihi kunywa chai bila majani chai {yaani sukari na maji}
Wakuu napenda kujuzwa umuhimu wa majani ya chai kwenye chai. Je, ni sahihi kunywa chai bila majani chai {yaani sukari na maji}
Robert S Gulenga JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 2,255 Reaction score 1,565 Jan 11, 2017 #2 Sukari na maji haitwii Chai...
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,723 Jan 11, 2017 #3 mpululu said: Sukari na maji haitwii Chai... Click to expand... Maisha ya boarding unaitwa mkorogo.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jan 11, 2017 #4 Chachu Ombara said: Maisha ya boarding unaitwa mkorogo. Click to expand... Do usinikumbushe Enzi za solution na mkate.
Chachu Ombara said: Maisha ya boarding unaitwa mkorogo. Click to expand... Do usinikumbushe Enzi za solution na mkate.
GIUSEPPE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 5,239 Reaction score 6,242 Jan 11, 2017 #5 geophrey20 said: Wakuu napenda kujuzwa umuhimu wa majani ya chai kwenye chai. Je, ni sahihi kunywa chai bila majani chai {yaani sukari na maji} Click to expand... kinachosababisha hicho kinywaji kuitwa chai ni hayo majani, lakini pamekuwa na mazoea kuita kinywaji hiki chai hata kama hujaweka hayo majani.
geophrey20 said: Wakuu napenda kujuzwa umuhimu wa majani ya chai kwenye chai. Je, ni sahihi kunywa chai bila majani chai {yaani sukari na maji} Click to expand... kinachosababisha hicho kinywaji kuitwa chai ni hayo majani, lakini pamekuwa na mazoea kuita kinywaji hiki chai hata kama hujaweka hayo majani.
R Mbuna JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 2,295 Reaction score 5,458 Jan 11, 2017 #6 Mimi binafsi huwa sipendi kutumia majani ya chai ila huwa natumia yale majani yenye harufu tamu sana huku kwetu tumezoea kuita mchai chai.
Mimi binafsi huwa sipendi kutumia majani ya chai ila huwa natumia yale majani yenye harufu tamu sana huku kwetu tumezoea kuita mchai chai.
Sahani20 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 1,517 Reaction score 746 Jan 11, 2017 Thread starter #7 GIUSEPPE said: kinachosababisha hicho kinywaji kuitwa chai ni hayo majani, lakini pamekuwa na mazoea kuita kinywaji hiki chai hata kama hujaweka hayo majani. Click to expand... kunywa maji na sukari kunakua na madhara gani bila hayo majani
GIUSEPPE said: kinachosababisha hicho kinywaji kuitwa chai ni hayo majani, lakini pamekuwa na mazoea kuita kinywaji hiki chai hata kama hujaweka hayo majani. Click to expand... kunywa maji na sukari kunakua na madhara gani bila hayo majani
Sahani20 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2013 Posts 1,517 Reaction score 746 Jan 11, 2017 Thread starter #8 mpululu said: Sukari na maji haitwii Chai... Click to expand... madhara yake au faida yake ni nini
py thon JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 2,475 Reaction score 4,454 Jan 11, 2017 #9 Kwanza majani ya chai yana madhara mengi kuliko faida labda utumie majani asilia Waungwana hawanywi chai bali hunywa maziwa
Kwanza majani ya chai yana madhara mengi kuliko faida labda utumie majani asilia Waungwana hawanywi chai bali hunywa maziwa
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 6,291 Reaction score 10,192 Jan 11, 2017 #10 R Mbuna said: Mimi binafsi huwa sipendi kutumia majani ya chai ila huwa natumia yale majani yenye harufu tamu sana huku kwetu tumezoea kuita mchai chai. Click to expand... Huku kwetu upo mseto unaitwa mtundura hauna sumu nicotine. ..
R Mbuna said: Mimi binafsi huwa sipendi kutumia majani ya chai ila huwa natumia yale majani yenye harufu tamu sana huku kwetu tumezoea kuita mchai chai. Click to expand... Huku kwetu upo mseto unaitwa mtundura hauna sumu nicotine. ..