stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 604
- 1,237
Your house is fortified by your slab (shoeless), your footing (footsore), your ring beam (belt or lastic), and your roof (shower 😀 cap).
Tunaandaa Ramani, TunaJenga , Tunapaua na kujenga Mashimo ya choo yasiyo jaa.
â•Tuna design Ramani zinazo jitosheleza na za kisasa zenye unafuu wa bajeti kwenye ujenzi
â•Ujenzi Nafuu, Bora na unaokidhi mahitaji ya mteja
â•Pia tuna PAUA paa za Aina zote na majengo yote, na tunaweka water proof membrane kwenye HIDDEN ROOF ili isivuje siku zote za maisha ya bati lako
â• Tunafanya Finishing na Decorations zote nzuri, zakupendeza na zakisasa lwenye nyimba na majengo yote
â• Tunatoa ushauri wa Designs na mpangilio wa nyumba, ramani na makazi Bure.
â•Tunajenga mashimo ya choo( Chemba) yasiyojaa.
*Piga simu no. 0743257669