Natron Ltd
Member
- Feb 11, 2016
- 56
- 18
hapo tunakuwa tunafunga backup kwasababu huwa hazitumii umeme mkubwa
mkuu inategemea na ukubwa wa eneo na client anataka kufunga camera ngap ndo maana kuhusu bei ni vizur kuongea private ili kujua unataka kufunga camera ngap na distance ya kila cameraBei gani mkuu, hebu tupe set nzima ya ufungaji ikoje {vifaa na zinakuwa camera ngapi}
Unaogopa nini kutaja bei? Ngoja wenzako waje waseme bei halafu useme wanakuharibia biashara.mkuu inategemea na ukubwa wa eneo na client anataka kufunga camera ngap ndo maana kuhusu bei ni vizur kuongea private ili kujua unataka kufunga camera ngap na distance ya kila camera
sifanyi kazi kwa kuangalia mwingine ametaja nini? This is a company na nitaendelea kushikilia misimamo ya company hivi nikikutajia bei alaf tunafika kwenye kufunga inahitajika vitu vingi si inakuwa hasara kwangu? Ndo maana kuna kitu kinaitwa SITE SURVEY, labda nikuulize ukiambiwa umjengee MTU nyumba unaweza ukamtajia bei pasipo kujua hali ya mazingira na ukubwa wa nyumba?Unaogopa nini kutaja bei? Ngoja wenzako waje waseme bei halafu useme wanakuharibia biashara.
Unapaswa kutoa maelezo kamili hapa, sio kila mtu ana access ya kuwasiliana na wewe pm, toa ufafanuzi ili watu wajipime kama wataweza kumudu gharama zake au la!ndo maana kuna private communication hivi kwa mfano MTU anaetaka kufunga 4 camera na anaetaka kufunga 20 camera kwa uelewa wa kawaida unadhani zitafanana?
Na kuhusu distance tunaangalia distance amabzo znaconnect camera Moja na nyingine. So nivizur kutafutana priveta kwa maelezo zaidi mkuu!
0656540271 or 0682220703
ndo maana kuna private communication hivi kwa mfano MTU anaetaka kufunga 4 camera na anaetaka kufunga 20 camera kwa uelewa wa kawaida unadhani zitafanana?
Na kuhusu distance tunaangalia distance amabzo znaconnect camera Moja na nyingine. So nivizur kutafutana priveta kwa maelezo zaidi mkuu!
0656540271 or 0682220703
Kwa mfano ungeweza kutoa makisio kuwa kwa kufunga camera 6 eneo la ukubwa kadhaa kwa mtu alieko dodoma gharama zake ni Tsh. 00000 hiii ingetoa mwongozo wa mtu kujima uweza wakendo maana kuna private communication hivi kwa mfano MTU anaetaka kufunga 4 camera na anaetaka kufunga 20 camera kwa uelewa wa kawaida unadhani zitafanana?
Na kuhusu distance tunaangalia distance amabzo znaconnect camera Moja na nyingine. So nivizur kutafutana priveta kwa maelezo zaidi mkuu!
0656540271 or 0682220703
Mimi nataka uniambie gharama ya CCTV camera moja na vikorombwezo vinavyohitajika kukamilisha kazi hadi kutazama matukio, gharama za ufungaji weka kando.sifanyi kazi kwa kuangalia mwingine ametaja nini? This is a company na nitaendelea kushikilia misimamo ya company hivi nikikutajia bei alaf tunafika kwenye kufunga inahitajika vitu vingi si inakuwa hasara kwangu? Ndo maana kuna kitu kinaitwa SITE SURVEY, labda nikuulize ukiambiwa umjengee MTU nyumba unaweza ukamtajia bei pasipo kujua hali ya mazingira na ukubwa wa nyumba?
Ungetoa mfano, let say nna m200 nataka camera 8,price yake ikoje atleast mtu tunaweza kujiongeza kwa ku proratendo maana kuna private communication hivi kwa mfano MTU anaetaka kufunga 4 camera na anaetaka kufunga 20 camera kwa uelewa wa kawaida unadhani zitafanana?
Na kuhusu distance tunaangalia distance amabzo znaconnect camera Moja na nyingine. So nivizur kutafutana priveta kwa maelezo zaidi mkuu!
0656540271 or 0682220703
mkuu sio kama siwezi Ila ukumbuke kuwa hizi camera haziwekwi katika line iliyoonyooka huwa zinafichwa sana ndo maana kujua mahali zitakapofungwa hizo camera inakuwa vizur kufanya approximation ya cost sawa na kujenga nyumbaUngetoa mfano, let say nna m200 nataka camera 8,price yake ikoje atleast mtu tunaweza kujiongeza kwa ku prorate