Umuhimu wa kozi ya Business Administration

Umuhimu wa kozi ya Business Administration

Mkuu samahn, je kwa yule mwenye D-4 kwa O-level. Na ana ndoto za kusomea Business Admistrn, Nae unamshaurije.🙏🙏
kama ni form itabidi uanze na certificate, cha msingi uwe na cheti cha form hata kama kina D zote sio zero
 
Mkuu samahn, je kwa yule mwenye D-4 kwa O-level. Na ana ndoto za kusomea Business Admistrn, Nae unamshaurije.🙏🙏
kama una cheti cha form 4 na division yako ni 4 ni lazma uanze na certificate
 
Vip kwa aliyesoma diploma ualimu(chemia na bailogy). Anaweza jiunga bachelor au mpaka uome masomo ya biashara(comme na bookiping)
 
Hivi kusoma CPA ni lazima usome Pure accountancy? Kama sio kwann unasema hawezi kuwa mhasibu akisoma BBA?
CPA ata dokta aua Injinia anaweza akasomea.

Aliyesomea Accounts yeye hatokaa muda mrefu tu shule kuliko yule ambaye hakusomea Accounts.
 
Back
Top Bottom