Umuhimu wa kozi ya Business Administration

Samily de cruze

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
230
Reaction score
683
Hellow wana JF nilikuwa naomba tueleweshane na kujuzana kuhusu ili.

Tukiangalia Tanzania inazidi kujua ila na kauli mbiu ya Tanzania ya viwanda sasa swali langu lipo hapa.

Hivi kwa mtu anayesoma Business Administration anakuwa na kazi gani katika kampuni na je kozi hii umuhimu wake ni upi na kama ina umuhimu elimu yake unatakiwa iwe ya kiwango gani bila kusahau qualification za kusoma hii kozi.

Tusaidiane kimawazo maana najua kaka na dada zangu mliopo hapa ndani mna uwezo na wengi mmepitia elimu na mnatambua vizuri kuhusu haya.

ASANTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
business administration, ni kozi inayohusiana na utawala katika biashara, now looking at it, it's too general! and not specific to a certain area, kwa kifupi unaweza fanya kazi nyingi sana but zile ambazo hazihitaji professionalism mfano, unaweza kuwa assistant accounts, hr officer/trainee, customer service, marketing officer, sales officer, receptionist, cashier, operations officer, call center agents, and others

kwa kifupi wewe unaweza kupachikwa kokote but utakuwa uko limited endapo watahitaji mtu professional wanaweza kukuacha wewe wakaajiri mwingine!

kozi hii ni similar to MBA tofauti ni kwamba MBA ni advanced kwa BBA.
 
Ok sasa kwa kozi ipi ya biashara ambayo ukiisoma unakuwa haupo limited yaan hakuna kusema kwamba unafanya kazi kwa mkataba wa mwaka mmoja au miezi then una shift plz niambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
business administration, ni kozi inayohusiana na utawala katika biashara, now looking at it, it's too general! and not specific to a certain area, kwa kifupi unaweza fanya kazi nyingi sana but zile ambazo hazihitaji professionalism mfano, unaweza kuwa assistant accounts, hr officer/trainee, customer service, marketing officer, sales officer, receptionist, cashier, operations officer, call center agents, and others

kwa kifupi wewe unaweza kupachikwa kokote but utakuwa uko limited endapo watahitaji mtu professional wanaweza kukuacha wewe wakaajiri mwingine!

kozi hii ni similar to MBA tofauti ni kwamba MBA ni advanced kwa BBA.
Mkuu samahani hii course ina hesabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Business administration (BA) ni program pana sana iliyogawanyika katika sehemu kama rasilimali watu (HR), uhasibu (Accountacy), masoko (Marketing), na hata usimamizi wa afya (Health management).
Kwa kifupi programme hii itakufanya uyajue mazingira yanayoizunguka biashara kwa undani zaidi .
Watu waliosoma programme hii wapo walio gawanyika katika makundi tajwa (specialization) katika fani husika na pia walioisoma yote (General).
Katika makampuni watu hawa hueza kufanya kazi zaidi ya moja katika idara mbalimbali huwa wanafit kulingana na mtu mwenyewe wepesi wa kichwa chake.
Ni programme nzuri sana kama unampango wakutaka kufanya biashara nakushauri ukaisome hutajutia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom