Hahaha umeona?Duh una macho imebidi nichunguze upya.
Ukoo wa panya.hilo jina umenifanya nicheke kwa sauti mbele ya wakweAsante kwa semina...
PANYA ROAD WANAKAMATA KAMBA YA ELEMENT WANAKUNYONGA NAYO SHINGONI [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Inafaa hata ukivamiwa na panya road
Yaani vitunguu tu mtu anavaa helmet!!! Walage tu maana si kazi ndogo.Hahahaa halafu wa kwanza kukosoa chakula wakipikiwa