Umuhimu wa GARI na MICHEPUKO!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Ukitaka kujua umuhimu wa michepuko endesha gari jijini!
Kwanza utakuwa umerahisisha kuongea sana gari kama nzuri umemaliza lazima ujibebee kichepoko chako kilaini...
Pili utakuwa umevunja sheria lakini inakusaidia sana kuwahi dili zako sehemu au ofisini michepuko mimi naona ingehalalishwa tu maana wakati mwingine ni msaada sana kwa watu kutimiza majukumu yao kwa ufanisi mkubwa.
Unatokaje posta mpaka mbezi bila kuchepuka?
Unaendaje morogoro kwa semina ya week usijichepukie?
Michepuko sio mibaya sana!
 

kibo umekamatia sana hii sera ya michepuko.
why aisee
 
kibo umekamatia sana hii sera ya michepuko.
why aisee

Wewe kiwatengu ni michepuko ipi unamaanisha?ipo aina nyingi ya michepuko hii ya kutoka posta kuchepukia hapo makumbusho utokee hongera bar naikubali
Lakini hii mingine mkuu mimi simo kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Wewe kiwatengu ni michepuko ipi unamaanisha?ipo aina nyingi ya michepuko hii ya kutoka posta kuchepukia hapo makumbusho utokee hongera bar naikubali
Lakini hii mingine mkuu mimi simo kabisa!

ha ha ha...
 
Last edited by a moderator:
Mwambie asiwe na wasiwasi..mi ni mchepuko tu. Njia kuu ni yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…