Wadau naomba kupata Elimu ya Jambo hili!Habari za usiku
Baada ya kupata magonjwa siku za karibuni ikanibi niende hospital ya Benjamin hapa Dodoma.
Nikacheki vipimo vyote ila nilipofika kwenye kipimo cha damu daktari alikuwa ananipa majibu huku Anatabasamu huku akiniambia kuwa nina bahati sana kuna kwenye kundi hili la damu(group 0 negative) na akaniandika jina kwenye White book na kuomba namba yangu.
Akaniambia nikihitajika na hospital nisisite kutoa msaada
Je, kuna umuhimu gani kuwa katika kundi hili(group 0 negative) na hasara zake ni nini hasaa?
Nb: Masomo ya India niliyakimbia yote nilibutua D
Hakika, Pia sisi kuumwa ni aghalabu, ila ukijakuumwa unaweza kwenda 😂😅Faida:
Mwenye damu group O Negative anaweza kumpa mtu wa kundi lolote la damu.
Hasara:
- Mtu mwenye damu O negative hawezi kupokea damu kwa kundi lingine lolote la damu isipokuwa kwa O negative mwenzake ( O negative anaweza kumgawia damu O positive ila hawezi kupokea damu kwa O positive)
- Ndio kundi la damu ambalo wanalo watu wachache zaidi Duniani
Weeee kweli?Ushakuwa An Fit.
Hufai kuajiriwa Jeshini ama vyombo vyote vya ulinzi na Usalama
Ndio ukipigwa shaba inakuwa ngumu kusaidiwaWeeee kweli?
Kwa hili nakubaliana nawe Mkuu.Kwa mwanaume hasara ni kwenye kupokea damu inabidi atafutwe O negative mwenzio ila kwa mwanamke kwenye ujauzito kama amekutana na positive kuanzia mimba ya pili ndio mapicha picha yanaanza
Mpaka wakutafutie O-negative ushakufa kitamboNdio ukipigwa shaba inakuwa ngumu kusaidiwa
Hapana asaiv kuna sindano wanachomwa kipindi wanahudhuria clinic ku supress immune reaction kwa mtoto alie tumboni ili asife, Muhimu ni kua watu hawa wanatakiwa wawe waudhuriaji wa clinic mzuri.Mimba lazima zitoke
Thus wy is unfitMpaka wakutafutie O-negative ushakufa kitambo
Zinaitwa rhesus factor, ni protein ya kurithi inayoweza kuwepo kwenye red blood cell. Mtu akiwa na hiyo protein ndio huitwa rhesus positive na ambaye anakua hana hiyo protein huitwa rhesus negative.Huku kusema positive na negative humaanisha nini. mfano: Group O positive, O negative.
JESUS IS CHRIST
Yeah mkuu umemuelewesha vizuri sindano hiyo inaitwa anti-D mjamzito anachoma mimba ikifikisha miezi saba na pia ndani ya siku tatu baada ya kujifungua. cha muhimu ni kuwa muhudhuriaji mzuri wa clinic tu na iwe clinic ya hospitali inayoeleweka baada ya hiyo sindano mimba zinazofuata huchomi tenaHapana asaiv kuna sindano wanachomwa kipindi wanahudhuria clinic ku supress immune reaction kwa mtoto alie tumboni ili asife, Muhimu ni kua watu hawa wanatakiwa wawe waudhuriaji wa clinic mzuri.
Weka LinkNatamani wenye group hili tuunde kundi letu la whatsapp
Sio kweli Mkuu kwamba akishachoma kwa ujauzito mmoja basi hachomi tena kwa mimba zinazofuata.Yeah mkuu umemuelewesha vizuri sindano hiyo inaitwa anti-D mjamzito anachoma mimba ikifikisha miezi saba na pia ndani ya siku tatu baada ya kujifungua. cha muhimu ni kuwa muhudhuriaji mzuri wa clinic tu na iwe clinic ya hospitali inayoeleweka baada ya hiyo sindano mimba zinazofuata huchomi tena