Umtendeavyo mwanamke ndiyo hivyo hivyo binti yako atatendewa

Nyie wanaume kuumbukeni kila ubaya umtendao mwanamke, na mnakuja hapa kujisifu kuwa umempakua demu, umemla jicho, umempa mimba ukamtelekeza, ndivyo hivyo hivyo mwanao wa kike atakavyotendwa.
Sasa kwani kisa ni mwanao ndio asitumike kama chombo ya starehe na wanaume wengine🤣🤣🤣🤣
Acheni uboya wee ukizaa mtoto wa kike tambua kuwa wanaume wengine watamchukulia kama chombo cha starehe tuu.
 
Nyie wanaume kuumbukeni kila ubaya umtendao mwanamke, na mnakuja hapa kujisifu kuwa umempakua demu, umemla jicho, umempa mimba ukamtelekeza, ndivyo hivyo hivyo mwanao wa kike atakavyotendwa.
Unaweza utende mema kwa mwanamke wako, na mwano akapigwa matukio ya hatari..!! Haya mambo, siyo kila wakati ni directly proportional, sometimes inakuwa inversely proportional..!!
 
Mzab hapa tafsiri yako kwa neno Chombo cha starehe ni ipi? Mana hapa kama umeniacha hivi.
Ah mwananchiii kwema lakini?
Ah chombo cha starehe sii jamani mwanaume kuburudika na mrembo kingono.
Maana hela zenu hamtupi, akili tunatumia za kwetu sasa wee unadhani tunawahitaji nyie kwa lipi zaidi ya kugegeduana
 
Upumbavu huu, nani kakuambia wanawake ni playing toy's za wanaume?,Mawazo ya kishetani na kujifanya waumini wa Mwenyezi Mungu
Ah sasa jamani wee mwanamke hela yake hakupi, akili kuendesha maisha watumia yako na ukiwa huna hela hakutaki. Sasa unadhani atakuwa more than a richs mans play toy kweli? Lets be realistic and stop being melodramatic just becoz u have a daughter. U having a daughter doesnt change the realities of life.
 
jitahidi kuandika kiswahili tu,ukiandika kiingereza kibaya haifai
 
Back
Top Bottom