Masawe kanong'onezwa na dem wake
DEMU;naomba unipe elfu2
MASAWE:hilo ckio linauma cjakuckia vizuri,labda ninong'oneze la pili
DEMU:nimekwambia unipe elfu10
MASAWE:rudi ckio la kwanza hilo ndio cjackia kabisa..