MURUSI JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 4,574 Reaction score 8,908 Nov 10, 2019 #1 Nimeukumbuka huo wimbo wa Wazulu walati wanapambana na Makubulu kule South Africa. Ni wimbo mzuri sana huo wa kupambana na Makabulu mambo leo.
Nimeukumbuka huo wimbo wa Wazulu walati wanapambana na Makubulu kule South Africa. Ni wimbo mzuri sana huo wa kupambana na Makabulu mambo leo.
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,271 Reaction score 29,938 Nov 10, 2019 #2 Ambao hatuhujui tutaujuaje kama ni mzur au mbaya? Uweke bass tusikilize wote by ze way ulitaka kumaanisha nin? Cc Baba Swalehe
Ambao hatuhujui tutaujuaje kama ni mzur au mbaya? Uweke bass tusikilize wote by ze way ulitaka kumaanisha nin? Cc Baba Swalehe
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,432 Nov 10, 2019 #3 Umshini wami😀😀😀 Zuma alikuwa akipenda sana kuuimba,weka bunduki ya AK 47 tuione Nalog off
state agent JF-Expert Member Joined Jul 1, 2019 Posts 1,764 Reaction score 2,515 Nov 10, 2019 #4 Unalala SAA 1kuogopa vibaka ,hujui hata kutumia kisu hiyo ak 47 utaiweza vipi raia mkubwa wewe State agent
Unalala SAA 1kuogopa vibaka ,hujui hata kutumia kisu hiyo ak 47 utaiweza vipi raia mkubwa wewe State agent
infinix JF-Expert Member Joined Sep 6, 2018 Posts 2,092 Reaction score 2,150 Nov 10, 2019 #5 Punguza hasira ndugu yangu,mnachokitafuta mtakipata tu. Bila shaka mnajua vita ni vita na haina macho,labda kama wewe na familia yako mtatoroka na bombadia. state agent said: Unalala SAA 1kuogopa vibaka ,hujui hata kutumia kisu hiyo ak 47 utaiweza vipi raia mkubwa wewe State agent Click to expand...
Punguza hasira ndugu yangu,mnachokitafuta mtakipata tu. Bila shaka mnajua vita ni vita na haina macho,labda kama wewe na familia yako mtatoroka na bombadia. state agent said: Unalala SAA 1kuogopa vibaka ,hujui hata kutumia kisu hiyo ak 47 utaiweza vipi raia mkubwa wewe State agent Click to expand...
state agent JF-Expert Member Joined Jul 1, 2019 Posts 1,764 Reaction score 2,515 Nov 10, 2019 #6 Ukisikia bom tu unalala uvunguni na mkeo vipi yakukute State agent infinix said: Punguza hasira ndugu yangu,mnachokitafuta mtakipata tu. Bila shaka mnajua vita ni vita na haina macho,labda kama wewe na familia yako mtatoroka na bombadia. Click to expand...
Ukisikia bom tu unalala uvunguni na mkeo vipi yakukute State agent infinix said: Punguza hasira ndugu yangu,mnachokitafuta mtakipata tu. Bila shaka mnajua vita ni vita na haina macho,labda kama wewe na familia yako mtatoroka na bombadia. Click to expand...