6321 JF-Expert Member Joined Oct 16, 2016 Posts 649 Reaction score 1,123 Apr 21, 2021 #1 Kuanzia umri gani wa mtoto ni sahihi kuanza kuchapa akikosea? Natanguliza shukurani
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 Apr 21, 2021 #2 Huwezi kumchapa bakora Moja kwa Moja. Kuna strategy nyingi hasa sisi kina mama. Sasa pale initial strategies zinapofeli ndo bakora zinaanzaga regardless of age. Wewe tu na ukaidi wako. Strategy ya kwanza ni kukata jicho flani linalozidishaga mapigo ya moyo.....hii tunatumuaga wageni wakiwepo
Huwezi kumchapa bakora Moja kwa Moja. Kuna strategy nyingi hasa sisi kina mama. Sasa pale initial strategies zinapofeli ndo bakora zinaanzaga regardless of age. Wewe tu na ukaidi wako. Strategy ya kwanza ni kukata jicho flani linalozidishaga mapigo ya moyo.....hii tunatumuaga wageni wakiwepo
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,580 Reaction score 29,716 Apr 22, 2021 #3 SIKU HIZI HADI KUBET IMEKUWA KAZI MOJA NGUMU SANA.
Priceless soul JF-Expert Member Joined Jul 4, 2017 Posts 1,484 Reaction score 1,734 Apr 22, 2021 #4 6321 said: Kuanzia umri gani wa mtoto ni sahihi kuanza kuchapa akikosea? Natanguliza shukurani Click to expand... Chini ya 18.. Lkn bakora ni hatuua ya mwisho baada ya kuona dharau zimezid ,ukimuonya Mara 2 au 3... Maana utamfanya awe sugu.
6321 said: Kuanzia umri gani wa mtoto ni sahihi kuanza kuchapa akikosea? Natanguliza shukurani Click to expand... Chini ya 18.. Lkn bakora ni hatuua ya mwisho baada ya kuona dharau zimezid ,ukimuonya Mara 2 au 3... Maana utamfanya awe sugu.