Tulimaliza A level tukaenda wote chuo kikuu udsm tukahitimu class ya '74!! Sasa fanya mwenyewe hesabu bila kutumia calculator kama unaweza!! I hope hujasoma shule za vidatu , sisi tulisoma shule za standard ambapo tulijua table ya kwanza mpaka ya kumi na mbili kwa kichwa!!