Sasa utaweka mada bila ya kufanya research? Huko ndiko kufuata Mkumbo wa MIVITU ULIYO SIKIA MITAANI KWA WAPENZI WA "NEGATIVE GOD"
JIFUNZENI KUULIZA MASWALI NA SIO KUFUATA MKUMBO
sawa. weka research yako unayoijua basi tuku challenge. siyo unapiga piga kelele tuuu
Hii mada tamu sana lakin kuna majitu mawili yana gombana tuu hayatoi hoja za msingi
Sasa kama Biblia imeandika hivyo tufuate lipi?
Siku ya kwanza-alitenganisha nuru na giza
siku ya nne-akaumba mianga miwili mikubwa(nyota na jua), swali la kujiuliza siku ya kwanza kilichotenganisha nuru na giza ni kitu gani?
Siku ya 6-akaumba mtu kwa mfano wake, meanamume na mwanamke
Siku ya 7 akapumzika!!
Mkuu ndio maana wafuasi wa dini huwa wanaambiwa waamini tu wasiulize logic kuhusu mambo mablimbali ya dini kwani wakiuliza logic hakuna binadamu atakayefuata dini.
Kwanini unachanganyikiwa?
Sayansi na Biblia kipi kilianza?
Unaweza kujua mwanzo wa kilichoandikwa kwenye biblia?
labda hutusaidie paroko maana hata nami nimekinzanika
is so sad kuwa watoa maoni wengi wako so shallow
mtoa maada, biblia inasema HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI. period hii iko mwanzo 1:1
all ur bing bang theories, gap analysis,.explosions.n.k viko hapo
then bible inaelezea kuwa dunia ilikuwa ukiwa..
all creation six days ni figurative language lakini kuna gaps kubwa sana in between, even bible says siku moja ni sawa na miaka 1000..
ni sawa na kusema Mungu aliumba adamu na hawa....that was just spiritual representation kuwa aliumba me na ke...lakini ukisoma biblia utagundua hakuwa adamu na hawa pekee na ndio maana kaini akapata sehemu ya kukimbilia na kuoa!!!!
tumeidharau biblia, but that is undisputable divine books inaelezea past.present na future...all dinosaurs, ukimwi, nuclear, mpaka android vimo mule. kuelewa just tune urself into position as explorer na sio kama unasoma magazeti ya shigongo
bible ni collection ya vitabu vilivyoandikwa katika span ya miaka tofauto sana....na sehemu tofauti lakini viko connected
wabe
vipi zile habari za watu kuishi mpaka miaka 900 kuna ukweli wowote?? Na zile ikawa asubuhi ikawa jioni siku ya kwanza ndiyo hiyo miaka 1000!
nadhani swali ni je walikuwa wanatumia calender ipi?? kuna kalenda ya kiyunani, kichina, kiarabu, kizungu, n.k
Kwa mujibu wa bible dunia ina miaka 8000 6000 au 10000?
sawa. weka research yako unayoijua basi tuku challenge. siyo unapiga piga kelele tuuu
watu wa aina hii ni janga..anapinga tu bila facts zozote!!
mkuu povu la nini? Mdomo mchafu unakujaje? kama wewe ni mtaalamu wa biblia kwanini usitoe majibu? Ni mkumbo gani nilioufuata? Mimi naongeongelea sayansi na siyo habari ya non-theist!
Angalau umekubali kwamba binadamu wa biblia waliumbwa miaka 6000 iliyopita, Je uumbaji ulifanyika ndani ya siku ngapi? Mbingu, nchi, bahari, jua na nyota havikuumbwa ndano ya hizo siku 6?
Biblia iko clear ktk hili. Tangu kuumbwa dunia hadi gharika-Nuhu ni miaka 2000, gharika Hadi Yesu kuzaliwa ni miaka 2000, Tangu Yesu Hadi sasa ni miaka 2014. Hivyo ni dhahiri dunia ina miaka 6014, wanasayansi hawana ushahidi wa madai yao zaidi ya carbon 14 ambayo ni uongo mtupu. Isitoshe sayansi ya dunia kwa % kubwa imejaa dhana potofu dhidi ya Mungu maana ibilisi ndiye kashika hatamu ya mifumo yote ya elimu.
Why do I have to?
Wewe unajua kusoma au hujui kusoma?
Kama unajua kusoma go and read, sina muda wa kupoteza na people wasio elewa abc za Biblia.
Mwanaume anapo shindw akuonyesha kutumia akili/fikra huwa inaudhi sana. Especially anapo fikiria kuwa anafahamu kumbe ni sawa na boga la kuliwa na Tembo. That is insanity ya hali ya juu.
By the way, sina muda na watu wasio na uwezo wa kufikiria, wenye nia ya ligi ya Simba na Yanga. I am better than than.
Sio nimekubali kuwa Adam aliumbwa 6000 years ago, it is like that in the Bible and it is indisputable. Jifunze kusoma Biblia na sio kufuata maanidishi kama Kasuku wa non theists wanao tumia akili za wenzao kufikiria.