sasa bible si inaonesha viumbe vyote plus binadamu waliumbwa ndani ya siku sita..? sasa kwa nini kuwe na gap kubwa kati ya miaka waliyotokea dinasours (200 mill yrs ago) na aliyotokea man (10,000 yrs) ago..?
Kwa mujibu wa bible dunia ina miaka 8000 6000 au 10000?
Hawa aliumbwa baada ya Adam, hivyo inamaana Adam aliishi bila ya kuwa na binadam mwenzake hadi pale alipoumbwa Hawa. Je unataka kuniambia muda aliokaa pekeyake Adam ni ndani ya siku 6 ?
Sasa kama Biblia imeandika hivyo tufuate lipi?
Siku ya kwanza-alitenganisha nuru na giza
siku ya nne-akaumba mianga miwili mikubwa(nyota na jua), swali la kujiuliza siku ya kwanza kilichotenganisha nuru na giza ni kitu gani?
Siku ya 6-akaumba mtu kwa mfano wake, meanamume na mwanamke
Siku ya 7 akapumzika!!
Hapo mie simo!
wanasayansi wao walikuepo enzi hizo
maandishi na uchoraji ndio ilikua ushahidi kipindi
hicho so rudi kwny bible,wanasayansi kitu gani bana!!
Habari zenu wakuu!!
Kwa muda sasa nimekuwa nikifutilia kuhusu mwanzo wa ulimwengu kwa maana ya sayari, mwezi/miezi, Nyota, jua pia Big bang na kinachoitwa Black Hole!!
Katika kufatilia huku nimekuja kupata mkanganyiko kwa namna biblia inavyoelezea vizazi toka kuumbwa Dunia na vilivyomo pamoja na Adam ambapo hata miaka 10,000 haifiki!! Upande wa pili ukiwafatilia wanasayansi ni kwamba kilichoanza ni Big bang(miaka 13.7bilion iliyopita), zikafuatia nyota na baadaye sayari yetu dunia(miaka 4.6 bilion iliyopita).
Je kwanini kuna tofauti kubwa sana kati ya kinachoitwa kitabu kitakatifu na sayansi ya ulimwengu, ni waandika biblia walidanganya au wanasayansi wanadanganya? Vipi kuhusu mabaki ya Dinosaurs yaliyogunduliwa na utafiti kuonesha hawa viumbe waliishi zaidi ya miaka 200 million iliyopita?
wanasema ni 6000, hiki ni kizazi cha tatu..kila kizazi miaka 2000!!
wanasayansi wao walikuepo enzi hizo
maandishi na uchoraji ndio ilikua ushahidi kipindi
hicho so rudi kwny bible,wanasayansi kitu gani bana!!
Mbona unagoma kutumia bongo yako chafu?
Umesha sema tokea uumbwa Adam na Eve, sasa wapi kwenye hayo maneno panazungumzia kuumbwa Dunia?
Kama hujui kusoma na kuilewa Biblia, fungo mdomo wako chafu na uliza wataalam wa Biblia na sio KUTOA ASSUMPTIONS ZA NON THEIST WAFUATA MKUMBO NA WASIO NA USHAIDI WA "NEGATIVE GOD?
Wewe hapo umemsaidiaje mleta mada? Anayefata mkumbo ni yeye au wewe? Si afadhali yeye amefanya inquiry japo kidogo kuliko wewe unaburuzwa kama punda, unaamini usichokijuwa! Acha kujifanya mjuaji wakati hujui kitu.
Biblia iliandikwa na watu tu, enzi za ujinga kabla watu hawajaaanza kugundua umri halisi wa dunia.
Hivyo ni wazi kuwa imebeba makosa yaliyotokana na ujinga wa enzi za uandishi wake.
Kila anayejua kufikiri ataona hilo, hata kama imani itamtaka alifumbie macho.
mkuu povu la nini? Mdomo mchafu unakujaje? kama wewe ni mtaalamu wa biblia kwanini usitoe majibu? Ni mkumbo gani nilioufuata? Mimi naongeongelea sayansi na siyo habari ya non-theist!Mbona unagoma kutumia bongo yako chafu?
Umesha sema tokea uumbwa Adam na Eve, sasa wapi kwenye hayo maneno panazungumzia kuumbwa Dunia?
Kama hujui kusoma na kuilewa Biblia, fungo mdomo wako chafu na uliza wataalam wa Biblia na sio KUTOA ASSUMPTIONS ZA NON THEIST WAFUATA MKUMBO NA WASIO NA USHAIDI WA "NEGATIVE GOD?
Angalau umekubali kwamba binadamu wa biblia waliumbwa miaka 6000 iliyopita, Je uumbaji ulifanyika ndani ya siku ngapi? Mbingu, nchi, bahari, jua na nyota havikuumbwa ndano ya hizo siku 6?Sasa wapi kwenye madai yako haya panasema DUNIA ILIUMBWA 6000 YEARS AGO? Mbona unashindwa hata kutumia akili ya chekechea na kusoma lugha ya kawaida tu kuwa, ADM ndie eliye umbwa 6000 years ago.
SASA NILETEE AYA KUTOKA BIBLIA INAYO SAIDIA MADAI YAKO CHAFU.
Bado hujajibu swali
Usichanganye mambo ya kaisari mpe kaisari na ya mungu mpe mungu.....