Mshubi wa Rulenge
Member
- Jan 8, 2015
- 23
- 8
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde pia sina mtoto wala cjawahi kuolewa. Kwa umri huu najitokeza kutafuta mume kigezo kikubwa awe na hofu ya mungu, awe ameajiriwa au kujiajiri. Sichagui dini wala kabila. Waishio maeneo ya kanda ya ziwa hasa Mwanza watapewa kipaumbele. Matusi na kejeri sitaki tafadhali, kama hauna hoja pita kimya kimya tu! Thanx