Umri sahihi wa kuwa na mtoto

Umri sahihi wa kuwa na mtoto

Jaribu kupiga mahesabu, kipindi unaumri wa kustaafu mtoto wako atakuwa wapi na atakuwa na maisha gani.

Si vema kipindi cha wewe kustaafu mtoto wako ndio kwanza yupo form six, hapo utakufa mapema kwa presha.
 
Kama una uwezo wa kusababisha mimba basi ndio wakati sahihi!!!
 
BIOLOGIGICAL: umri wa kuzaa ni pale mvulana anapobaleeee na msichana anapovunja ungooo ,inakuwa kwamb tayar mvulana anawezo kuzalisha mbegu ambaz productive na mshichana anakuwa na uwezo kutoa yaai ambalo lipo tayar kwa kurutubishwa..
SOCIALY: Ni pale kila mmoja anapokuea na uwezo wa kutigemea mwenyew hasa kwa mwanaumee
 
Mwanaume akisahabarehe na Mwanamke akishabalehe pia
 
miaka 30, alafu bado nakua nakua na uoga wa kua na mtoto, hii imekaaje?
Hiyo ni hatari changamka kwani kuna muda wa kutafuta mchumba kama miaka miwili mitatu kwa hiyo utakuwa na miaka 32/33. Halafu uanze kutafuta uja uzito miezi 4 - 12 mwaka umeisha, kisha mwanamke mpaka ajifungue mtoto ni miezi tisa kwa hiyo unakuta unapoteza tena kama mwaka au miaka miwili kupata mtoto kwa hiyo unakuwa na miaka 34/35 huyo ni mtoto wa kwanza.
Masomo baada ya miaka minne mtoto anaanza chekechea ndogo anasoma miaka miwili jumla miaka sita, la kwanza mpaka la saba anakuwa na miaka 13, form 1 - 4 anakuwa na miaka 17, form 5 -6 anakuwa na miaka 19, chuo kikuu jumlisha miaka 3/4 anakuwa na miaka 23. Kwa hivyo kama unataka kumuandalia mtoto maisha mazuri unahitaji miaka 23 ya kumuwezesha sasa wewe umemzaa ukiwa na miaka 35 jumlisha 23 inakutupa kwenye miaka 59 kama ni mtumishiwa umma lazima uwe umestaafu kwa lazima, hiari ni miaka 55. Hivyo basi unastaafu mtoto wako wa kwanza ndio anamaliza kidato cha sita hapo bado hajarisiti/hajaumwa ukaailisha mwaka nk chuo utamsomesha na nini?.
Bado huna wadogo zake yawezekani ukastaafu kwa lazima ukiwa na watoto wa darasa la saba, form two na form four yaani hatari tupu na ukiwa na miaka 55 unakuwa huna nguvu hata za kutafuta hela ndio watoto wanahitaji mahitaji muhimu ya shule.
Kama una mtoto wakiume lazima atakuwa jambazi kama wa kike basi atakuwa bar maids.
 
Back
Top Bottom