Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,501
- 32,216
Aisee utafiti wa mtafiti wa futuhiUtafiti nilio ufanya ukioa mapema ni rahisi kupata msongo wa mawazo kuuliwa kurogana n.k. Lakini ukichelewa kuoa uta epukana na mambo mengi sana na hii ita kuongezea umri wa kuishi..Ukifikisha miaka 60 oa utakuwa huna cha kupoteza..