Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
- Thread starter
- #21
Uja chelewaNina miaka 70, nimechelewa?
Uja chelewaNina miaka 70, nimechelewa?
Mkuu take it from me!Hao ni wachache sana wengi walio kwenye ndoa hawana furaha ndoa ni mateso..
Mi Mrusi damu..Angalia mapadri na maaskofu ni ngumu sana kukuta wamekufa wakiwa na umri mdogo au wakiwa vijanaHizi ni akili za vijana waliokimbia vita Ukraine wakapitia Urusi.
Uja chelewaNina miaka 70, nimechelewa?
HapanaWewe na ZERO IQ ni ndugu au mapacha?
lazima utakua umepiga cha mkono ndo ukaandika huu uziUtafiti nilio ufanya ukioa mapema ni rahisi kupata msongo wa mawazo kuuliwa kurogana n.k. Lakini ukichelewa kuoa uta epukana na mambo mengi sana na hii ita kuongezea umri wa kuishi..Ukifikisha miaka 60 oa utakuwa huna cha kupoteza..
Kama huna Mali mke huyo huwezipata mkuu,,Kama hauna mali usioe then hakuna aliye kuja kulinda dunia unapo fikisha miaka 60 una oa hili mke akusaidie kukupa kampani huku ukisubili kifo
Subhanallah 😲Utafiti nilio ufanya ukioa mapema ni rahisi kupata msongo wa mawazo kuuliwa kurogana n.k. Lakini ukichelewa kuoa uta epukana na mambo mengi sana na hii ita kuongezea umri wa kuishi..Ukifikisha miaka 60 oa utakuwa huna cha kupoteza..
Hapo unakuwa unaoa au unatafuta wa kukukokea moto nyakati za baridi na kukufunga macho na mdomo ukifa?Utafiti nilio ufanya ukioa mapema ni rahisi kupata msongo wa mawazo kuuliwa kurogana n.k. Lakini ukichelewa kuoa uta epukana na mambo mengi sana na hii ita kuongezea umri wa kuishi..Ukifikisha miaka 60 oa utakuwa huna cha kupoteza..
Unapendekeza umri gani ni bora zaidi?Kizazi Cha Sasa shida tupu
Wambie kuoa sio lazimaDah!
Afadhali aisee manake watu wananisemanga ile mbaya wakati hata 50 bado sijafikisha!
Kiongozi naomba huu utafiti wako niutengenezee bango la matangazo kabisa manake watu wanazidi kutusemanga, aaaaaargh!!
Wazo zuriNikifika 39 nina mpango wa kuzaa mtoto na atakayekuwa tayari kunijengea nyumba,au wandugu mnaonaje wazo langu? Ila mtoto unasepa nae wananitosha nilionao.
Utakuwa vizuri zaidi ukioa mke 50+Utafiti nilio ufanya ukioa mapema ni rahisi kupata msongo wa mawazo kuuliwa kurogana n.k. Lakini ukichelewa kuoa uta epukana na mambo mengi sana na hii ita kuongezea umri wa kuishi..Ukifikisha miaka 60 oa utakuwa huna cha kupoteza..